Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
source wordpress blog.
chanzo ni blogu ya wordpress.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
syrian students for a better future is a wordpress blog by syrian students at the illinois institute of technology.
wanafunzi wa syria kwa mustakabali bora ni blogu ya wordpress inayoendeshwa na wanafunzi wa syria wanaosoma kwenye taasisi ya teknolojia ya illinois.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the three and a half years since global voices last comprehensively surveyed the caribbean literary blogosphere, a handful of new journals has emerged, based online and in many cases using blogging software to publish quickly and inexpensively. tongues of the ocean, based in the bahamas and running on wordpress, was launched in early 2009 as a poetry journal, but by its third issue it also included short fiction.
katika miaka mitatu na nusu tangu global voices ilipofanya taftishi ya kina na kamilifu kuhusu usomaji wa kikaribea katika ulimwengu wa blogu, majarida kadhaa yameibuka, yakiwa ni ya mtandaoni na mara nyingi yakitumia zana za kublogu ili kuchapisha kwa haraka na pasipo gharama. moja wapo ni tongues of the ocean, ambalo hushughulika na mashairi na huchapishwa kutokea bahamas kwa kutumia wordpress, lilizunduliwa mapema mwaka 2009, lilipofikia toleo la tatu lilichapisha pia hadithi fupifupi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: