Results for tunisie translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

logo d'anonymous tunisie

Swahili

nembo ya tunisia isiyojitambulisha

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

félicitations à la #tunisie.

Swahili

hongera #tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

et puis il y a eu la tunisie.

Swahili

na pia kulikuwepo na (mageuzi ya) tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tunisie : grève générale à thala

Swahili

tunisia: mgomo waanza jijini thala

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le monde arabe congratule la tunisie

Swahili

uarabuni: hongera tunisia!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

elections en tunisie : voter ou pas ?

Swahili

nchini tunisia, swali ni ikiwa ni lazima kupiga kura au kugomea uchaguzi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tunisie : des élections justes et équitables !!?

Swahili

uchaguzi tunisia: haki bila ya upendeleo!!?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tunisie : 2011 en photos sur les médias citoyens

Swahili

tunisia: mwaka 2011 katika picha za mitandao ya kijamii

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le 23 octobre 2011 a été un tournant pour la tunisie.

Swahili

mnamo oktoba 23, 2011, ndipo ilipowadia siku ya mageuzi kwa ajili ya tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tunisie : quand la presse nationale retouche ses photos

Swahili

tunisia: picha 'zilizochakachuliwa' ni dalili ya hali halisi katika vyombo vya habari vya kitaifa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

moncef marzouki, nouveau président de la république de tunisie.

Swahili

rais mpya wa tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

restez en ligne pour plus d'informations sur la tunisie en 2012.

Swahili

jiandae kwa habari zaidi kuhusu tunisia kwa mwaka 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

ce billet fait partie du dossier de global voices sur la révolution en tunisie 2011.

Swahili

makala haya ni sehemu ya habari zetu maalumu za mapinduzi ya tunisia 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

tunisie : anonymous contre ammar, la bataille de la censure d'internet

Swahili

tunisia: anonymous dhidi ya ammar – nani atashinda vita ya kuchuja habari?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le discours inaugural de m. marzouki, le nouveau président de la république de tunisie.

Swahili

hotuba siku yakusimikwa kwa bw. marzouki, rais mpya wa jamhuri ya tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le piratage de comptes n'a rien de nouveau en tunisie, ou pour ses dissidents politiques.

Swahili

shambulio hilo kwa anuani za wanaharakati si jambo geni kwa tunisia na wanaharakati wa mtandaoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

dans la chanson, hamzaoui et kafon décrivent la vie des jeunes qui habitent les quartiers populaire de tunisie.

Swahili

katika wimbo huo, hamzaoui na kafon wanaelezea hali halisi ya maisha wanayokabiliana nayo vijana wanaoishi kwenye mitaa inayojulikana kama ya wachapakazi nchini tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

un jeune tunisien tué à tala (centre-ouest de la tunisie), 10 janvier 2011.

Swahili

kijana wa ki-tunisia aliyepoteza maisha yake mjini tala (magharibi ya kati ya tunisia), januari 10, 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@3yyash: la tunisie a fait une révolution, ils sont l'original, et nous la copie ..

Swahili

@3yyash: watunisia walifanya mapinduzi, yao ni ya kweli na sisi tumeiga tu..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

la rencontre de tunis sera pour nous l'occasion de présenter la mission et les projets de global voices à nos lecteurs de tunisie.

Swahili

mkutano huu wa tunis ni fursa yetu kueleza shughuli na miradi yetu ya global voices kwa wasomaji wetu nchini tunisia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,149,335 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK