Results for violations translation from French to Swahili

French

Translate

violations

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

les violations des droits humains au rwanda

Swahili

habari mbaya

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

menaces de mort à ceux qui dénoncent des violations du code électoral.

Swahili

vitisho vya kuuwawa vinatumwa kwa wale wanaopinga vitendo vichafu vya uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

nous dénonçons les violations commises contre les droits humains au venezuela.

Swahili

tulilaani vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu nchini venezuela

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

une chronologie des violations du droit international par les troupes russes en ukraine

Swahili

matukio ya ghasia zinazofanywa na majeshi ya urusi nchini ukraine

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il dit que larijani et la république islamique sont hypocrites de critiquer les autres pays sur leurs violations des droits humains.

Swahili

alisema kuwa, larijani na jamhuri ya kiislamu ni wanafiki katika kuzikosoa nchi nyingine kwa kukiuka haki za binadamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

atnaf berhane, un des blogueurs de zone 9, a été emprisonné pour sa dénonciation des violations des droits humains en ethiopie.

Swahili

atnaf berhane, mmoja wa wanablogu wanaounda kundi la wanablogu wa zone 9, amefungwa gerezani kwa sababu ya kublogu kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini ethiopia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

vous parlez de violations des droits humains en arabie saoudite, au bahrein... dans les pays occidentaux, comme si vous aviez créé le paradis sur terre en iran.

Swahili

unaongelea kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini saudi arabia, bahrain….. nchi za magharibi, kama vile mliiumba mbingu katika ardhi ya iran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le centre cambodgien pour les droits de l'homme a lancé un portail pour documenter les violations des droits de l'homme que les journalistes cambodgiens ont subies.

Swahili

kituo cha haki za binadamu cha kambodia kimezindua jarida linaloelezea ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa kwa waandishi wa habari nchini kambodia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

elles emboîtent aussi le pas à des rapports d'amnesty international et du départment d'etat américain qui attestent de multiples violations des droits humains ainsi que de la poursuite du trafic international illégal de bois de rose précieux des forêts pluviales de madagascar .

Swahili

vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu na idara ya serikali ya marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

@moawen: les forces de l'ordre lançant des gaz lacrymogènes qui couvrent un petit enfant http://youtu.be/4eqmt_m7_is violation continue des droits des enfants

Swahili

@feb14media: sitra - sufala : risasi iliyomlenga moja kwa moja muandamanaji1/1/2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,647,544,268 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK