Results for hinauf translation from German to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

German

Swahili

Info

German

hinauf

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

und das volk ging hinauf und bat, daß er täte, wie er pflegte.

Swahili

watu wengi wakamwendea pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

aber mitten im fest ging jesus hinauf in den tempel und lehrte.

Swahili

sikukuu hiyo ilipofikia katikati, yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

darnach war ein fest der juden, und jesus zog hinauf gen jerusalem.

Swahili

baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya wayahudi, naye yesu akaenda yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und als er solches sagte, zog er fort und reiste hinauf gen jerusalem.

Swahili

yesu alisema hayo, kisha akatangulia mbele yao kuelekea yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und nach diesen tagen machten wir uns fertig und zogen hinauf gen jerusalem.

Swahili

baada ya kukaa pale kwa muda, tulifunga mizigo yetu, tukaendelea na safari kwenda yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

das geschah aber dreimal; und alles ward wieder hinauf gen himmel gezogen.

Swahili

jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

da nun festus ins land gekommen war, zog er über drei tage hinauf von cäsarea gen jerusalem.

Swahili

siku tatu baada ya kufika mkoani, festo alitoka kaisarea, akaenda yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

darnach über vierzehn jahre zog ich abermals hinauf gen jerusalem mit barnabas und nahm titus auch mit mir.

Swahili

baada ya miaka kumi na minne, nilikwenda tena yerusalemu pamoja na barnaba; nilimchukua pia tito pamoja nami.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

zu ihm steigt das gute wort hinauf, und die rechtschaffene tat hebt er (zu sich) empor.

Swahili

kwake yeye hupanda neno zuri, na a'mali njema yeye huitukuza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

German

petrus aber und johannes gingen miteinander hinauf in den tempel um die neunte stunde, da man pflegt zu beten.

Swahili

siku moja, saa tisa alasiri, petro na yohane walikuwa wanakwenda hekaluni, wakati wa sala.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

als wir aber solches hörten, baten wir und die desselben ortes waren, daß er nicht hinauf gen jerusalem zöge.

Swahili

tuliposikia hayo, sisi na wale watu wengine waliokuwa hapo tulimsihi paulo asiende yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

als aber seine brüder waren hinaufgegangen, da ging er auch hinauf zu dem fest, nicht offenbar, sondern wie heimlich.

Swahili

baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und er ist erschienen viele tage denen, die mit ihm hinauf von galiläa gen jerusalem gegangen waren, welche sind seine zeugen an das volk.

Swahili

naye, kwa siku nyingi aliwatokea wale waliofuatana naye kutoka galilaya mpaka yerusalemu. hao ndio walio sasa mashahidi wake kwa watu wa israeli.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

es war aber nahe das ostern der juden; und es gingen viele aus der gegend hinauf gen jerusalem vor ostern, daß sie sich reinigten.

Swahili

sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa karibu, na watu wengi walikwenda yerusalemu ili wajitakase kabla ya sikukuu hiyo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

die ihm auch nachgefolgt waren, da er in galiläa war, und gedient hatten, und viele andere, die mit ihm hinauf gen jerusalem gegangen waren.

Swahili

hawa walimfuata yesu alipokuwa galilaya na kumtumikia. kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja yerusalemu pamoja naye.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

festus aber wollte den juden eine gunst erzeigen und antwortete paulus und sprach: willst du hinauf gen jerusalem und daselbst über dieses dich vor mir richten lassen?

Swahili

festo alitaka kujipendekeza kwa wayahudi na hivyo akamwuliza paulo, "je, ungependa kwenda yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

des anderen tages, da diese auf dem wege waren, und nahe zur stadt kamen, stieg petrus hinauf auf den söller, zu beten, um die sechste stunde.

Swahili

kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika yopa, petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili kusali.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

German

und spricht zu ihm: wahrlich, wahrlich ich sage euch: von nun an werdet ihr den himmel offen sehen und die engel gottes hinauf und herab fahren auf des menschen sohn.

Swahili

yesu akaendelea kusema, "nawaambieni kweli, mtaona mbingu zinafunguka na malaika wa mungu wakipanda na kushuka juu ya mwana wa mtu."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

er nahm aber zu sich die zwölf und sprach zu ihnen: sehet, wir gehen hinauf gen jerusalem, und es wird alles vollendet werden, was geschrieben ist durch die propheten von des menschen sohn.

Swahili

yesu aliwachukua kando wale kumi na wawili, akawaambia, "sikilizeni! tunakwenda yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu mwana wa mtu kitakamilishwa.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

aber die gerechtigkeit aus dem glauben spricht also: "sprich nicht in deinem herzen: wer will hinauf gen himmel fahren?" (das ist nichts anderes denn christum herabholen.)

Swahili

lakini, kuhusu kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya imani, yasemwa hivi: "usiseme moyoni mwako: nani atapanda mpaka mbinguni? (yaani, kumleta kristo chini);

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,981,942 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK