Results for kaufen translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

kaufen

Swahili

kununua

Last Update: 2013-08-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

unterwegs um syrische antiquitäten zu kaufen oder zu verkaufen?

Swahili

uko sokoni kutafuta kununua au kuuza sarafu za syria?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

und die kaufleute auf erden werden weinen und leid tragen über sie, weil ihre ware niemand mehr kaufen wird,

Swahili

wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

daß niemand kaufen oder verkaufen kann, er habe denn das malzeichen, nämlich den namen des tiers oder die zahl seines namens.

Swahili

akapiga marufuku mtu yeyote kununua au kuuza kitu isipokuwa tu mtu aliyetiwa alama hiyo, yaani jina la yule mnyama au tarakimu ya jina hilo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

gebt vom rizq, das wir euch gewährt haben, bevor ein tag kommt, an dem weder kaufen noch freundschaft noch fürbitte nützt.

Swahili

toeni katika tulivyo kupeni kabla haijafika siku ambayo hapatakuwapo biashara, wala urafiki, wala uombezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

war per anhalter unterwegs ... uns ging das benzin aus ... zu viert mussten wir eine meile zu fuß gehen, um benzin zu kaufen .

Swahili

ukitoka kuzunguka, ukaishiwa na mafuta....unatembea mwendo mfupi tu unalipa na mpesa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

sie hat ihm geld geschickt, damit er sich ein telefon kaufen kann, aber andere menschen im lager nutzen es auch, so dass sie oft stundenlang warten muss, um ihn zu sprechen.

Swahili

alimtumia pesa za kununulia simu lakini watu wengine kambini pia hutumia simu hiyo hiyo na aghalabu kumfanya asubiri kwa masaa ili apate kuwasiliana na mumewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

German

am abend aber traten seine jünger zu ihm und sprachen: dies ist eine wüste, und die nacht fällt herein; laß das volk von dir, daß sie hin in die märkte gehen und sich speise kaufen.

Swahili

kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, "mahali hapa ni nyikani, na saa zimepita. basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

German

als landraub oder land grabbing bezeichnet man das umstrittene thema des landerwerbs im großen stil, d.h. den kauf oder die pacht von großen landflächen in entwicklungsländern durch einheimische oder transnationale unternehmen, regierungen oder individuen.

Swahili

unyang’anyi wa ardhi ni suala tete linalohusu umilikishaji wa maeneo makubwa ya ardhi; ununuzi au kukodisha maeneo makubwa ya ardhi katika nchi zinazoendelea unaofanywa na makampuni ya nyumbani au ya kimataifa, serikali au watu binafsi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,791,429,312 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK