Results for problem translation from German to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

German

Swahili

Info

German

kein problem

Swahili

hakuna matata

Last Update: 2011-02-14
Usage Frequency: 1
Quality:

German

leopold sudaryono behandelt das problem der gefängnisüberfüllung in indonesien.

Swahili

leopold sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini indonesia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

kurz- und mittelfristig betrachtet ist die wirtschaftlichkeit der forschung in vielen ländern ein problem.

Swahili

ni nadra sana kuupuuza umuhimu na nafasi ya tafiti za sayansi katika kuleta maendeleo ya nchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

sie sagten: "kein problem! gewiß, wir kehren zu unserem herrn zurück,

Swahili

wakasema: haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa mola wetu mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

"das problem des nigerianischen fußballs ist strukturell", sagte der Öffentlichkeitsberater des präsidenten der presse.

Swahili

"“tatizo la soka la nigeria ni la kimfumo," mshauri wa rais wa masuala ya mawasiliano alieleza vyombo vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

German

ein weites problem ist die vage definition, wann ein bild oder eine handlung pornographisch, unanständig, unmoralisch oder obszön ist.

Swahili

tatizo jingine ni maelezo yasiyoeleweka ya lipi hasa linaloweza kuitwa ni la ki ngono, lisilo la kistaarabu, lisilo la kimaadili, na la nguoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

unter den faktoren, die zu dem problem beitragen, sind der mangel an alternativen strafoptionen und verspätungen in der verwaltung des kriminaljustizsystems.

Swahili

miongoni mwa mambo yanayochangia tatizo ni ukosefu wa chaguzi za adhabu mbadala katika kesi na ucheleweshaji katika utawala wa mfumo wa makosa ya jinai.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

ysaki deutet an, dass dieses problem schon immer bestanden hatte, aber von den meisten japanern als das problem der anderen angesehen wurde.

Swahili

ysaki anaeleza jinsi tatizo hili lilivyoendelea kuwepo na jinsi lilivyochukuliwa na wajapani wengi kana kwamba ni tatizo la watu wengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

„nein, mein problem mit dem tragen von sindur ist, dass ich an den meisten tagen zur arbeit gehe, wo es viele inder gibt.

Swahili

“hapana, tatizo langu linalotokana na kujipaka sindoor ni kwamba katika siku nyingi ninakwenda kazini ambapo kuna idadi ya kutosha ya wanawake wa ki-hindi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

die goldgelbe kami hatte 2002 als reaktion auf das hiv/aids-problem im land ihr debüt in takalani sesame, einer co-produktion der südafrikanischen sesamstraße.

Swahili

kami mwenye rangi ya njano-dhahabu alionekana kwa mara ya kwanza kwenye kipindi mwenza cha sisame street cha afrika kusini kinachoitwa takalani sesame, mwaka 2002 kujibu matatizo ya nchi yanayohusiana na ukimwi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

d. chaitanya greift auf ground report, einer offenen nachrichtenplattform, einige weitere fragen in bezug auf dieses problem auf, mit denen sich offensichtlich sowohl männer als auch frauen aufs heftigste auseinandersetzen:

Swahili

katika jarida la habari nyepesi nyepesi (ground report) ambalo ni jarida huru la habari, d. chaitanya anaainisha zaidi baadhi ya maswali yanayohusiana na jambo hili ambayo watu (wanaume kwa wanawake) wamekuwa wakiyajadili kwa undani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

im september hatte makoto yuasa, der generalsekretär des anti poverty network (反貧困 han hinkon) , bereits auf das problem hingewiesen und das japanische armutsproblem wie folgt erklärt :

Swahili

mnamo mwezi wa septemba, makoto yuasa, katibu mkuu wa mtandao wa kupinga umaskini (反貧困 han hinkon) , alilionyesha tatizo kwa kufafanua tatizo la umaskini nchini japan kwa njia hii :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

German

egal sir keine probleme

Swahili

jambo bwana hakuna matata

Last Update: 2023-09-17
Usage Frequency: 2
Quality:

Get a better translation with
9,248,198,516 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK