Results for macchia translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

macchia

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

non fu trovata menzogna sulla loro bocca; sono senza macchia

Swahili

hawakupata kamwe kuwa waongo; hawana hatia yoyote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ma con il sangue prezioso di cristo, come di agnello senza difetti e senza macchia

Swahili

bali mlikombolewa kwa damu tukufu ya kristo, ambaye alikuwa kama mwana kondoo asiye na dosari wala doa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

per una eredità che non si corrompe, non si macchia e non marcisce. essa è conservata nei cieli per voi

Swahili

na hivyo tunatazamia kupata baraka zile ambazo mungu aliwawekea watu wake. mungu amewawekeeni baraka hizo mbinguni ambako haziwezi kuoza au kuharibika au kufifia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

chi commette una mancanza o un peccato e poi accusa un innocente, si macchia di calunnia e di un peccato evidente.

Swahili

na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

al fine di farsi comparire davanti la sua chiesa tutta gloriosa, senza macchia né ruga o alcunché di simile, ma santa e immacolata

Swahili

kusudi ajipatie kanisa lililo takatifu na safu kabisa, kanisa lisilo na doa, kasoro au chochote cha namna hiyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

una religione pura e senza macchia davanti a dio nostro padre è questa: soccorrere gli orfani e le vedove nelle loro afflizioni e conservarsi puri da questo mondo

Swahili

dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya mungu baba ni hii: kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

tale era infatti il sommo sacerdote che ci occorreva: santo, innocente, senza macchia, separato dai peccatori ed elevato sopra i cieli

Swahili

basi, yesu ndiye kuhani mkuu ambaye anatufaa sana katika mahitaji yetu. yeye ni mtakatifu, hana hatia wala dhambi ndani yake; hayumo katika kundi la wenye dhambi na ameinuliwa mpaka juu mbinguni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

in possesso dunque di queste promesse, carissimi, purifichiamoci da ogni macchia della carne e dello spirito, portando a compimento la nostra santificazione, nel timore di dio

Swahili

basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa, na tuishi kwa kumcha mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,783,281,501 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK