From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sed in ipsis commemoratio peccatorum per singulos annos fi
lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
erat autem quidam homo ibi triginta et octo annos habens in infirmitate su
basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
deinde post annos quattuordecim iterum ascendi hierosolyma cum barnaba adsumpto et tit
baada ya miaka kumi na minne, nilikwenda tena yerusalemu pamoja na barnaba; nilimchukua pia tito pamoja nami.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
deinde post annos tres veni hierosolyma videre petrum et mansi apud eum diebus quindeci
ilikuwa tu baada ya miaka mitatu, ndipo nilipokwenda yerusalemu kuonana na kefa; nilikaa kwake siku kumi na tano.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et adprehendit draconem serpentem antiquum qui est diabolus et satanas et ligavit eum per annos mill
akalikamata lile joka--nyoka wa kale, yaani ibilisi au shetani--akalifunga kwa muda wa miaka elfu moja.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et dicam animae meae anima habes multa bona posita in annos plurimos requiesce comede bibe epular
hapo nitaweza kuiambia roho yangu: sasa unayo akiba ya matumizi kwa miaka na miaka. ponda mali, ule, unywe na kufurahi.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
neque ut saepe offerat semet ipsum quemadmodum pontifex intrat in sancta per singulos annos in sanguine alien
kuhani mkuu wa wayahudi huingia mahali patakatifu kila mwaka akiwa amechukua damu ya mnyama; lakini kristo hakuingia humo ili ajitoe mwenyewe mara nyingi,
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
et haec vidua usque ad annos octoginta quattuor quae non discedebat de templo ieiuniis et obsecrationibus serviens nocte ac di
halafu alibaki mjane hadi wakati huo akiwa mzee wa miaka themanini na minne. wakati huo wote alikaa hekaluni akifunga na kusali usiku na mchana.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
helias homo erat similis nobis passibilis et oratione oravit ut non plueret super terram et non pluit annos tres et menses se
eliya alikuwa binadamu kama sisi. aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
scio hominem in christo ante annos quattuordecim sive in corpore nescio sive extra corpus nescio deus scit raptum eiusmodi usque ad tertium caelu
namjua mtu mmoja mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa mpaka katika mbingu ya tatu. (sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; mungu ajua.)
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
umbram enim habens lex bonorum futurorum non ipsam imaginem rerum per singulos annos hisdem ipsis hostiis quas offerunt indesinenter numquam potest accedentes perfectos facer
sheria ya wayahudi si picha kamili ya mambo yale halisi: ni kivuli tu cha mema yanayokuja. dhabihu zilezile hutolewa daima, mwaka baada ya mwaka. sheria yawezaje, basi, kwa njia ya dhabihu hizo, kuwafanya wale wanaoabudu wawe wakamilifu?
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: