Results for essemus translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

ut essemus sancti et caritate

Swahili

Last Update: 2024-02-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ita et nos cum essemus parvuli sub elementis mundi eramus serviente

Swahili

hali kadhalika na sisi tulipokuwa bado watoto, tulikuwa watumwa wa pepo watawala wa ulimwengu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et cum essemus mortui peccatis convivificavit nos christo gratia estis salvat

Swahili

hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na kristo. kwa neema ya mungu ninyi mmeokolewa.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

tantum ut pauperum memores essemus quod etiam sollicitus fui hoc ipsum facer

Swahili

wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et hanc vocem nos audivimus de caelo adlatam cum essemus cum ipso in monte sanct

Swahili

tena, sisi wenyewe tulisikia sauti hiyo kutoka mbinguni wakati tulipokuwa pamoja naye juu ya ule mlima mtakatifu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

nam et cum essemus apud vos hoc denuntiabamus vobis quoniam si quis non vult operari nec manduce

Swahili

tulipokuwa pamoja nanyi tulikuwa tukiwaambieni, "mtu asiyefanya kazi, asile."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et dicitis si fuissemus in diebus patrum nostrorum non essemus socii eorum in sanguine prophetaru

Swahili

mwasema: kama sisi tungaliishi nyakati za wazee wetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

sicut elegit nos in ipso ante mundi constitutionem ut essemus sancti et inmaculati in conspectu eius in caritat

Swahili

kabla ya kuumbwa ulimwengu, mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. kwa sababu ya upendo wake,

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

cum enim essemus in carne passiones peccatorum quae per legem erant operabantur in membris nostris ut fructificarent mort

Swahili

maana, tulipokuwa tukiishi kimaumbile tu, tamaa mbaya zikichochewa na sheria, zilifanya kazi katika miili yetu, na kuchuma pato la kifo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

si enim cum inimici essemus reconciliati sumus deo per mortem filii eius multo magis reconciliati salvi erimus in vita ipsiu

Swahili

maana, tulipokuwa bado adui zake, mungu alitupatanisha naye kwa kifo cha mwanae. na kwa vile sasa tumepatanishwa naye, ni dhahiri zaidi kwamba tutaokolewa kwa uzima wa kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et sicut praedixit esaias nisi dominus sabaoth reliquisset nobis semen sicut sodoma facti essemus et sicut gomorra similes fuissemu

Swahili

ni kama isaya alivyosema hapo awali: "kama bwana mwenye nguvu asingalituachia baadhi ya watoto wa israeli, tungalikwisha kuwa kama sodoma, tungalikwisha kuwa ma gomora."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,937,871,451 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK