Results for tibi translation from Latin to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

latum tibi a:

Swahili

imeletwa kwako na:

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

holocaustomata et pro peccato non tibi placui

Swahili

sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

haec tibi scribo sperans venire ad te cit

Swahili

ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dixit autem ad illam remittuntur tibi peccat

Swahili

basi, yesu akamwambia yule mwanamke, "umesamehewa dhambi zako."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

ad quem dictum est quia in isaac vocabitur tibi seme

Swahili

ingawa mungu alikuwa amemwambia: "wazawa wako watatokana na isaka."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

amen dico tibi non exies inde donec reddas novissimum quadrante

Swahili

kweli nakwambia, hutatoka humo mpaka umemaliza kulipa senti ya mwisho.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

dicens quid tibi vis faciam at ille dixit domine ut videa

Swahili

"unataka nikufanyie nini?" naye akamjibu, "bwana, naomba nipate kuona tena."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

dic ergo nobis quid tibi videatur licet censum dare caesari an no

Swahili

haya, twambie maoni yako. je, ni halali au la, kulipa kaisari?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

confidens oboedientia tua scripsi tibi sciens quoniam et super id quod dico facie

Swahili

naandika nikitumaini kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ait illi iesus amen dico tibi quia in hac nocte antequam gallus cantet ter me negabi

Swahili

yesu akamwambia, "kweli nakwambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

amen amen dico tibi quia quod scimus loquimur et quod vidimus testamur et testimonium nostrum non accipiti

Swahili

kweli nakwambia, sisi twasema tunayoyajua na kushuhudia tuliyoyaona, lakini ninyi hamkubali ujumbe wetu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

adtende tibi et doctrinae insta in illis hoc enim faciens et te ipsum salvum facies et qui te audiun

Swahili

angalia sana mambo yako mwenyewe, na mafundisho yako. endelea kufanya hayo maana ukifanya hivyo utajiokoa mwenyewe na wale wanaokusikiliza.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et primo die azymorum quando pascha immolabant dicunt ei discipuli quo vis eamus et paremus tibi ut manduces pasch

Swahili

siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Latin

et tibi dabo claves regni caelorum et quodcumque ligaveris super terram erit ligatum in caelis et quodcumque solveris super terram erit solutum in caeli

Swahili

nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni."

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,155,856,953 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK