Results for liibaanay translation from Somali to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Somali

Swahili

Info

Somali

liibaanay

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Somali

Swahili

Info

Somali

waxaana liibaanay ruuxii daahir noqda.

Swahili

hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ee waxaa liibaanay ruxii naftiisa daarhiriya.

Swahili

hakika amefanikiwa aliye itakasa,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

waxaa dhab ahaan u liibaanay mu'miniinta.

Swahili

hakika wamefanikiwa waumini,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

kuwaasi hanuun eebe yey ku suganyihiin, kuwaasina waa uun kuwa liibaanay.

Swahili

hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa mola wao mlezi, na hao ndio walio fanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ciddayse cuslaato miisaankiisu (wanaagga) kuwaasi waa kuwa uun liibaanay.

Swahili

ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

waan ka abaal marinay maanta samirkoodii dartiis, iyaga unbaana liibaanay.

Swahili

hakika mimi leo nimewalipa kwa vile walivyo subiri. bila ya shaka hao ndio wenye kufuzu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ciddii adeecda eebe iyo rasuulkiisa oo cabsata kana dhawrsata kuwaasi waa uun kuwa liibaanay.

Swahili

na wenye kumt'ii mwenyezi mungu na mtume wake, na wakamwogopa mwenyezi mungu na wakamcha, basi hao ndio wenye kufuzu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ruuxiise toobadkeena oo rumeeya oo fala camal fiican wuxuu u dhawyahay inuu noqdo kuwa liibaanay.

Swahili

ama mwenye kutubu na akaamini na akatenda mema, huyo atakuwa miongoni mwa wenye kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ee kulmiya dhagar (tiinna) imaadana idinkoo saf ah waxaa liibaanay maanta ciddii sarreysee.

Swahili

kwa hivyo kusanyeni hila zenu zote, kisha mfike kwa kujipanga safu, na kwa yakini atafuzu kweli kweli leo atakaye shinda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

haydiin wanaajiyo camalkiinna hana idiin dhaafo dambigiinee, ruuxii adeeca eebe iyo rasuulkiisa wuxuu u liibaanay dhab ahaan liibaan weyn.

Swahili

apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. na anaye mt'ii mwenyezi mungu na mtume wake, bila ya shaka amefanikiwa mafanikio makubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

rasuulkase iyo kuwa rumeeyey ee la jira way ku jahaadaan xoolahooda iyo naftooda waxaana kuwaas u sugnaaday khayraad, kuwaasuna waa uun kuwa liibaanay.

Swahili

lakini mtume na wale walio amini pamoja naye waliwania jihadi kwa mali zao na nafsi zao. hao ndio watakao pata kheri nyingi, na hao ndio wenye kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ha laydinka helo umad u yeedha khayrka oo fari wanaagga oo ka reebta waxa la naco (xumaanta) kuwaasina waa uun kuwa liibaanay.

Swahili

na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na unakataza maovu. na hao ndio walio fanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

maalintuu qiyaamuhu yimaaddo ma hadasho nafi idinka eebe mooyee, waxaana ka mida dadka kuwo xun (khasaaray) iyo kuwo liibaanay.

Swahili

siku hiyo itakapo fika, hatosema hata mtu mmoja ila kwa idhini yake mwenyezi mungu. kati yao watakuwamo waliomo mashakani na wenye furaha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ee qaraabada sii xaqeeda iyo miskiinka iyo musaafurka, saasaa u khayroon kuwa dooni wajiga eebe, (u dhawaanshahiisa) kuwaasina waa kuwa liibaanay.

Swahili

basi mpe jamaa haki yake, na masikini, na msafiri. hayo ni kheri kwa watakao radhi ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

eebe ka dhawrsada intaad kartaan, maqla oo adeecana (weyneeya), waxna baxsada, ruuxii laga dhawro bakhaylnimada naftiisa waa liibaanay.

Swahili

basi mcheni mwenyezi mungu kama mwezavyo, na sikieni, na t'iini, na toeni, itakuwa kheri kwa nafsi zenu. na mwenye kuepushwa na uchoyo wa nafsi yake, basi hao ndio walio fanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Somali

ee ah kuwa raaca rasuulka nabiga ah ec umiga ah ee ah kay ka heleyeen isagoo ku qoran agtooda tawreed iyo injiil farana wanaagga kana reeba xumaanta una baneeya wanaagga (xalaasha) kana xarrima xumaanta (xaaraanta) kana dejiya culayskii iyo xadhkihii korkooda ahaa, kuwa rumeeyey nabigaas oo qaddariyey oo u gargaaray oo raacay nuurka lagu soo dejiyey kuwaasu waa uun kuwa liibaanay.

Swahili

ambao kwamba wanamfuata huyo mtume, nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika taurati na injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,052,824 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK