Ask Google

Results for estoy corriando y cayendo en el s... translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

“Dormimos en el suelo.

Swahili

Hakukuwa na vitanda vyovyote au magodoro," alisema "Tulilala sakafuni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

Algunos languidecen en el suelo.

Swahili

Wengine wao wanaendelea kuangamia huku wamejilaza kwenye sakafu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Las personas heridas, tendidas en el suelo

Swahili

Watu waliojeruhiwa wamelala chini

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Algunos duermen en el suelo en la calle,

Swahili

Watu wengine hulaaniana, huuana kwenye sakafu za mitaani,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Estaba en el suelo aplastado por otros cuerpos.

Swahili

Nilikuwa sakafuni, nimekandamizwa na miili mingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Había solo una estera de bambú en el suelo de hormigón.

Swahili

Kulikuwa na mkeka wa mianzi pekee juu ya sakafu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

En el caso de algunas viviendas, sólo se veía el techo y la casa entera se había hundido en el suelo.

Swahili

Kwa baadhi ya nyumba mtu uliweza kuona paa tu, nyumba nzima ilikuwa imetitia ardhini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Estudiantes de un colegio hindi en las afueras de Mumbai comen en el suelo sin asientos ni platos.

Swahili

Wanafunzi wa shule ya Kihindi nje kidogo ya Mumbai wakipata chakula wakiwa wamekaa chini pasipo kuwa na viti wala bakuli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Abel se vio forzado a permanecer tirado en el suelo mientras los interrogadores pisoteaban su espalda, cuello y cara.

Swahili

Alilazimishwa kulala sakafuni huku waliokuwa wakimhoji wakimkanyaga mgongoni mwake, kwenye shingo na usoni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

La imagen en este artículo muestra "Libertad para Alaa Abd El Fattah" escrito en el suelo frente al edificio de la Fiscalía Militar en El Cairo.

Swahili

Picha iliyotumiwa kwenye makala haya inaonyesha maneno yanayosomeka "Uhuru wa Alaa Abd El Fattah" yaliyoandikwa ardhi nje ya jengo la Mashitaka ya Kijeshi mjini Cairo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK