Results for navegando translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

navegando

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

esperando un poco de sangre fría, estamos todos ahí, navegando ante los ojos de un ciego.

Swahili

na wakati tukisubiri mitizamo ya wenye vichwa vilivyopoa, tupo hapa, tukijaribu kutafuta njia ya kutoka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

navegando muchos días despacio, y habiendo llegado a duras penas frente a gnido, porque el viento nos impedía, navegamos a sotavento de creta frente a salmón

Swahili

kwa muda wa siku nyingi tulisafiri polepole, na kwa shida tulifika karibu na nido. kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande wa krete karibu na rasi salmone ambapo upepo haukuwa mwingi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras tanto en canadá, jean razafindambo, un expatriado malgache con fuertes raíces en mahajanga, estaba navegando en internet el día en que nació su nieto cuando tropezó con el blog de diana.

Swahili

wakati huo huo huko nchini kanada, jean razafindambo, mtaalamu muhamiaji wa ki-malagasy mwenye mizizi imara huko mahajanga alikuwa akiperuzi kwenye mtandao wa intaneti siku hiyo ambayo mjukuu wake wa kiume alikuwa amezaliwa, na ndiyo alipokumbana na blogu ya diana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

para decirlo claramente, África está navegando entre dos sistemas culturales competidores: el sistema retrógrado de gestión de las personas y la "administración revolucionaria de las cosas".

Swahili

kuliweka suala hili bayana zaidi, afrika inaogelea kati ya mifumo miwili ya kiutamaduni inayoshindana, mfumo wa kurudi nyuma kwa kusimamia watu na (mapinduzi?) ya utawala wa mambo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

cuando, navegando con viento favorable, contentos con él, se levanta un viento tempestuoso, azotan las olas por todas partes y creen llegada la hora de la muerte, invocan a alá rindiéndole culto sincero. «si nos salvas de ésta, seremos, ciertamente, de los agradecidos».

Swahili

hata mnapo kuwa majahazini na yakawa yanakwenda nao kwa upepo mzuri wakaufurahia, upepo mkali ukawazukia, na yakawajia mawimbi kutoka kila upande, na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba mwenyezi mungu kwa kumsafishia niya: ukituokoa na haya bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa wanao shukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,125,777 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK