Results for orientación translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

orientación

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

proporcionar capacitación, orientación y liderazgo.

Swahili

kutoa mafunzo, maelekezo na uongozi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

aparentemente, hubiese estado bien si no fuese sincera sobre su orientación sexual, pero lo dijo.

Swahili

kwa hakika, ingekuwa vyema kama asingekuwa wazi kuhusu hali yake ya kimapenzi, lakini ndio hivyo, alishajitangaza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

por tanto, la orientación estratégica para África debe dirigirse a generar investigación que tenga un uso local inmediato.

Swahili

mweleko wa kimkakati kwa afrika wapaswa kuwa katika kuwezesha kufanyika kwa tafiti ambazo zinafaida ya kutatua matatizo yanayozikabili jamii hizo kwa wakati husika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

desde el 2007 hemos apoyado 40 proyectos de medios ciudadanos de pequeña escala con financiamiento y orientación, presentándolos a la comunidad de global voices.

Swahili

tangu mwaka 2007, tumesaidia miradi midogo ya uandishi wa kiraia ipatayo 40 kwa kutoa fedha na utaalamu na vile vile kuwakaribisha kwenye familia ya global voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

alrededor de 70,000 personas asistieron a la marcha del orgullo lgbt en taiwán el 25 de octubre para celebrar la diversidad de orientación sexual e identidad de género, así como para animar al público a hacer lo mismo.

Swahili

kiasi cha watu 70,000 walihudhuria matembezi ya fahari ya mashoga na wasagaji nchini taiwani mnamo oktoba 25 katika kusherehekea tofauti za hisia za kimapenzi na utambulisho wa kijinsia na kuuhamasisha umma kuiga mfano huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la discusión pública generada por el nombramiento de oronoz rodríguez pone de relieve la fijación que aún tiene la sociedad en cuanto a la orientación sexual de figuras públicas, al punto que los asuntos medulares, como su desempeño y su conocimiento, pasan a un segundo plano.

Swahili

mjadala wa umma ulionzishwa na uteuzi wa oronoz rodríguez unabainisha mwamko endelevu wa hali ya kimapenzi hata kwa watu maarufu, kufikia mahali masuala ya msingi, kama uwezo na uelewa wake, vitafutika kwa sababu tu ya hali yake ya kimapenzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

(h) prohibir que uganda participe en cualquier instrumento internacional que incluya expresamente la protección del comportamiento homosexual o la enseñanza de la homosexualidad o relaciones homosexuales como ente saludable, ortodoxo, o de elección voluntaria; y/o que busque establecer al comportamiento sexual, orientación sexual, identidad de género o minorías sexuales como categorías de personas legalmente protegidas.

Swahili

(e) kujitoa kwenye makubaliano yoyote ya kimataifa ambayo uganda tayari ni mwanachama, au kuweka masharti ya kujihadhari, ambayo yanatafsiriwa upya ili kujumuisha kulindwa kwa tabia za kishoga, au kutetea ndoa za jinsia moja, au kutoa wito wa kutangaza au kufundisha kuhusu ushoga kama tabia yenye afya, ya kawaida au uchaguzi unaokubalika wa utaratibu wa maisha, au kutafuta kuanzishwa kwa tabia za kingono, mtazamo wa kingono, au utambilsho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kisheria; na (f) kuizuia uganda kuwa mwanachama wa chombo chochote cha kimataifa ambacho kinatamka wazi ujumuishaji na kulindwa kwa tabia za kishoga; kushabikia ndoa za jinsia moja; kutoa wito wa kushabikia na kufundisha kuhusu ushoga na mahusiano ya jinsia moja kama yenye kumaanisha afya njema, kawaida, ama uchaguzi wa namna ya maisha unaokubalika; na/au kutafuata kuanzisha tabia za kingono, mtazamo wa kingono, utambulisho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kwa nguvu ya sheria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,763,263,168 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK