Results for kulitokea translation from Swahili to Amharic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

kulitokea ubishi kati ya hao mitume kuhusu nani miongoni mwao anayefikiriwa kuwa mkuu zaidi kuliko wengine.

Amharic

ደግሞም ማናቸውም ታላቅ ሆኖ እንዲቈጠር በመካከላቸው ክርክር ሆነ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ghafla, kulitokea mtetemeko mkuu wa ardhi ambao uliitikisa misingi ya gereza. mara, milango yote ikafunguka na minyororo iliyowafunga hao wafungwa ikaachana.

Amharic

ድንገትም የወኅኒው መሠረት እስኪናወጥ ድረስ ታላቅ የምድር መንቀጥቀጥ ሆነ፤ በዚያን ጊዜም ደጆቹ ሁሉ ተከፈቱ የሁሉም እስራት ተፈታ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu mia nne wakajiunga naye. lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.

Amharic

ከዚህ ወራት አስቀድሞ ቴዎዳስ። እኔ ታላቅ ነኝ ብሎ ተነሥቶ ነበርና፥ አራት መቶ የሚያህሉ ሰዎችም ከእርሱ ጋር ተባበሩ፤ እርሱም ጠፋ የሰሙትም ሁሉ ተበተኑ እንደ ምናምንም ሆኑ።

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,443,152 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK