Results for jirani translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

jirani

Arabic

كلام

Last Update: 2023-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari hizo zikaenea kote katika uyahudi na katika nchi za jirani.

Arabic

وخرج هذا الخبر عنه في كل اليهودية وفي جميع الكورة المحيطة

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ya pili inafanana na hiyo: mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.

Arabic

والثانية مثلها. تحب قريبك كنفسك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"mmesikia kwamba ilisemwa: mpende jirani yako na kumchukia adui yako.

Arabic

سمعتم انه قيل تحب قريبك وتبغض عدوك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema ili huyo apate kujijenga katika imani.

Arabic

فليرض كل واحد منا قريبه للخير لاجل البنيان.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."

Arabic

اكرم اباك وامك واحب قريبك كنفسك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula."

Arabic

اصرفهم لكي يمضوا الى الضياع والقرى حوالينا ويبتاعوا لهم خبزا. لان ليس عندهم ما ياكلون.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Arabic

وسمع جيرانها واقرباؤها ان الرب عظّم رحمته لها ففرحوا معها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu alirudi galilaya akiwa amejaa nguvu za roho mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

Arabic

ورجع يسوع بقوة الروح الى الجليل وخرج خبر عنه في جميع الكورة المحيطة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

chakula chake cha jioni, jijini aleppo, anakipata akisikia sauti za mabomu yakidondoka jirani na aliko:

Arabic

العشاء في حلب كان مصحوبا بأصوات قذائف الهاون على بعد مسافة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mvua kubwa imesababisha mafuriko makubwa katika maeneo mengi ya vitongoji vya jiji la manila na mikoa ya jirani katika kisiwa cha luzon nchini ufilipino.

Arabic

تسببت أمطار قوية في حدوث فيضانات هائلة في أجزاء متعددة في مترو مانيلا وأقاليم مجاورة في جزيرة لوزون في الفلبين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana sheria yote hutimizwa katika kushika amri hii moja: "mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."

Arabic

لان كل الناموس في كلمة واحده يكمل. تحب قريبك كنفسك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, jirani zake na wale waliokuwa wanajua kwamba hapo awali alikuwa maskini mwombaji, wakasema, "je, huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?"

Arabic

فالجيران والذين كانوا يرونه قبلا انه كان اعمى قالوا أليس هذا هو الذي كان يجلس ويستعطي.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

halafu akamwambia na yule aliyemwalika, "kama ukiwaandalia watu karamu mchana au jioni, usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri, wasije nao wakakualika nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea.

Arabic

وقال ايضا للذي دعاه اذا صنعت غذاء او عشاء فلا تدع اصدقاءك ولا اخوتك ولا اقرباءك ولا الجيران الاغنياء لئلا يدعوك هم ايضا فتكون لك مكافاة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na ni lazima mtu kumpenda mungu kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani yake kama anavyojipenda mwenyewe. jambo hili ni muhimu zaidi kuliko dhabihu na sadaka zote za kuteketezwa."

Arabic

ومحبته من كل القلب ومن كل الفهم ومن كل النفس ومن كل القدرة ومحبة القريب كالنفس هي افضل من جميع المحرقات والذبائح.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wafanyakazi hawa wanadai nyongeza ya mishahara kwa mujibu wa mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni na snim kwa wafanyakazi wake; pia wanadai mafao ya hifadhi ya jamii, pamoja na raia wa mauritania kupewa kipaumbele katika kazi ikilinganishwa na wafanyakazi wageni wanaotoka mataifa jirani. aina mpya ya utumwa wafanyakazi hao, wanaojulikana kama "journalia" kwa lugha ya mitaani, vile vile wamedai kutaka kuingia mkataba wa moja kwa moja na snim badala ya makampuni madogomadogo ambayo hulipa asilimia 40 tu ya mshahara wa mfanyakazi wa snim, kitu wanacho wanaona ni sawa na biashara ya binadamu na aina mpya ya utumwa.

Arabic

يطالب هؤلاء العمال بالاستفادة من زيادات الاجور التي منحتها شركة "سنيم" مؤخراً لعمالها ويطالبون بالضمان الاجتماعي وبإعطائهم أسبقية في العمل كمواطنين موريتانيين بدلاً من اللجوء إلى العمالة الاجنبية من الدول المجاورة، بالإضافة إلى التعاقد مباشرة مع الشركة بدل العقود المبرمة مع الشركات الوسيطة التي لا تمنحهم إلا 40% من ما تدفعه لهم "أسنيم" مقابل كل عامل وهو الأمر الذي يعتبرونه بمثابة مقاولة للبشر ونوع جديد من الاستعباد.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,944,434,844 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK