From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mavuno
حصاد
Last Update: 2024-03-17
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake.
فلا نفشل في عمل الخير لاننا سنحصد في وقته ان كنا لا نكل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo akawaambia wanafunzi wake, "mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache.
حينئذ قال لتلاميذه الحصاد كثير ولكن الفعلة قليلون.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
adui aliyepanda yale magugu ni ibilisi. mavuno ni mwisho wa nyakati na wavunaji ni malaika.
والعدو الذي زرعه هو ابليس. والحصاد هو انقضاء العالم. والحصادون هم الملائكة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
tajiri huyo akafikiri moyoni mwake: nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu?
ففكر في نفسه قائلا ماذا اعمل لان ليس لي موضع اجمع فيه اثماري.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nafaka inapoiva, huyo mtu huanza kutumia mundu wake, maana wakati wa mavuno umefika."
واما متى ادرك الثمر فللوقت يرسل المنجل لان الحصاد قد حضر
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akawaambia mfano: "kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi.
وضرب لهم مثلا قائلا. انسان غني اخصبت كورته.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nitafanya hivi: nitabomoa ghala zangu na kujenga kubwa zaidi, na humo nitahifadhi mavuno yangu yote na mali yangu.
وقال اعمل هذا. اهدم مخازني وابني اعظم واجمع هناك جميع غلاتي وخيراتي.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi nimewatuma mkavune mavuno ambayo hamkuyatolea jasho, wengine walifanya kazi, lakini ninyi mnafaidika kutokana na jasho lao."
انا ارسلتكم لتحصدوا ما لم تتعبوا فيه. آخرون تعبوا وانتم قد دخلتم على تعبهم
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
akawaambia, "mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache. kwa hivyo, mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake.
فقال لهم ان الحصاد كثير ولكن الفعلة قليلون. فاطلبوا من رب الحصاد ان يرسل فعلة الى حصاده.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, ndugu zangu, muwe na subira mpaka bwana atakapokuja. tazameni mkulima anavyongoja kwa subira mimea yake itoe mavuno mazuri. yeye hungojea kwa subira mvua za masika na za vuli.
فتأنوا ايها الاخوة الى مجيء الرب. هوذا الفلاح ينتظر ثمر الارض الثمين متأنيا عليه حتى ينال المطر المبكر والمتأخر.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ninyi mwasema: bado miezi minne tu, na wakati wa mavuno utafika! lakini mimi nawaambieni, yatazameni mashamba; mazao yako tayari kuvunwa.
أما تقولون انه يكون اربعة اشهر ثم يأتي الحصاد. ها انا اقول لكم ارفعوا اعينكم وانظروا الحقول انها قد ابيضّت للحصاد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, mungu hakuacha kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: huwanyeshea mvua toka angani, huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha."
مع انه لم يترك نفسه بلا شاهد وهو يفعل خيرا يعطينا من السماء امطارا وازمنة مثمرة ويملأ قلوبنا طعاما وسرورا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha malaika mwingine akatoka hekaluni, na kwa sauti kubwa akamwambia yule aliyekuwa amekaa juu ya wingu, "tafadhali, tumia mundu wako ukavune mavuno, maana wakati wa mavuno umefika; mavuno ya dunia yameiva."
وخرج ملاك آخر من الهيكل يصرخ بصوت عظيم الى الجالس على السحابة ارسل منجلك واحصد لانه قد جاءت الساعة للحصاد اذ قد يبس حصيد الارض.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting