Results for mke wa fulani na mtoto wake translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

mke wa fulani na mtoto wake

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

na alipotolewa nje, binti wa farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.

Arabic

‎ولما نبذ اتخذته ابنة فرعون وربته لنفسها ابنا‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumbukeni yaliyompata mke wa loti.

Arabic

اذكروا امرأة لوط.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mkifika mji fulani na watu wakiwakaribisha, kuleni wanavyowapeni.

Arabic

واية مدينة دخلتموها وقبلوكم فكلوا مما يقدّم لكم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.

Arabic

ثم اومأوا الى ابيه ماذا يريد ان يسمى.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila nyumba hujengwa na mjenzi fulani--na mungu ndiye mjenzi wa vitu vyote.

Arabic

لان كل بيت يبنيه انسان ما ولكن باني الكل هو الله.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe?

Arabic

ام اي انسان منكم اذا سأله ابنه خبزا يعطيه حجرا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, huyo ofisa aliposikia kuwa yesu alikuwa ametoka yudea na kufika galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.

Arabic

هذا اذ سمع ان يسوع قد جاء من اليهودية الى الجليل انطلق اليه وسأله ان ينزل ويشفي ابنه لانه كان مشرفا على الموت.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, siku wafu watakapofufuliwa, mwanamke huyo atakuwa mke wa nani? alikuwa ameolewa na wote saba."

Arabic

ففي القيامة لمن منهم تكون زوجة. لانها كانت زوجة للسبعة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

karibu na msalaba wake yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, maria mke wa kleopa, na maria magdalene.

Arabic

وكانت واقفات عند صليب يسوع امه واخت امه مريم زوجة كلوبا ومريم المجدلية.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aidha, yeye ni mke wa mfungwa ambaye amekuwa kizuizini kwa miaka nane bila ya kufunguliwa mashtaka.

Arabic

كما انها زوجة أحد المعتقلين الذين تم اعتقالهم 8 سنوات بدون محاكمة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yoana, mke wa kuza, mfanyakazi mkuu wa herode; susana na wengine kadhaa. hao wanawake walikuwa wakiwatumikia kwa mali yao wenyewe.

Arabic

ويونّا امرأة خوزي وكيل هيرودس وسوسنة وأخر كثيرات كنّ يخدمنه من اموالهنّ

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alifika tena huko mjini kana, mkoani galilaya, mahali alipogeuza maji kuwa divai. kulikuwa na ofisa mmoja aliyekuwa na mtoto mgonjwa huko kafarnaumu.

Arabic

فجاء يسوع ايضا الى قانا الجليل حيث صنع الماء خمرا. وكان خادم للملك ابنه مريض في كفرناحوم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yohane alikuwa amemwambia herode, "si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako."

Arabic

لان يوحنا كان يقول لهيرودس لا يحل ان تكون لك امرأة اخيك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini maandiko matakatifu yasemaje? yasema: "mfukuze mama mtumwa pamoja na mwanawe; maana mtoto wa mtumwa hatarithi pamoja na mtoto wa mama huru."

Arabic

لكن ماذا يقول الكتاب. اطرد الجارية وابنها لانه لا يرث ابن الجارية مع ابن الحرة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? maana wote saba walimwoa."

Arabic

ففي القيامة لمن من السبعة تكون زوجة. فانها كانت للجميع.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

herode ndiye aliyekuwa amemtia yohane nguvuni, akamfunga minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya herodia, mke wa filipo, ndugu yake. sababu hasa ni

Arabic

فان هيرودس كان قد امسك يوحنا واوثقه وطرحه في سجن من اجل هيروديا امرأة فيلبس اخيه.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo awali herode mwenyewe alikuwa ameamuru yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani. herode alifanya hivyo kwa sababu ya herodia ambaye herode alimwoa ingawaje alikuwa mke wa filipo, ndugu yake.

Arabic

لان هيرودس نفسه كان قد ارسل وامسك يوحنا واوثقه في السجن من اجل هيروديا امرأة فيلبس اخيه اذ كان قد تزوج بها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ghafla, nyumba hiyo ilizingirwa na askari pamoja na mabahith ( magari ya polisi kanzu). mmoja wa watu wa kundi la mabahith aliongea wakati wa mchana na maha al-dhuhaian ambaye ni mke wa al-ayaf, mtu huyo aliishiakumtukana mama huyo.

Arabic

حاصرت قوات الأمن والمباحث منزل أسرة العياف، وتحدث أحد رجال المباحث مع مها الضحيان، زوجة العياف، وتلفظ عليها بشتائم بذيئة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,790,175,918 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK