From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mungu ni mkubwa
الله أكبر
Last Update: 2021-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu ni akubariki
الله جيد عربي ثم سواحيلي
Last Update: 2023-03-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu ni mwema ijumaa njema
Last Update: 2021-03-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu ni mwema arabic and then swahili
الله جيد ثم السواحيلية.
Last Update: 2023-06-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu ni mkubwa nae ni mmoja tu ni mwnye kutukuka na mjuvi wa kila jambo
الله أكبر وتعالى واحد فقط
Last Update: 2021-11-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wote wanaoongozwa na roho wa mungu ni watoto wa mungu.
لان كل الذين ينقادون بروح الله فاولئك هم ابناء الله.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mtu asiye na upendo hamjui mungu, maana mungu ni upendo.
ومن لا يحب لم يعرف الله لان الله محبة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba mungu ni kweli.
ومن قبل شهادته فقد ختم ان الله صادق.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuna mwili mmoja na roho mmoja, kama vile tumaini mliloitiwa na mungu ni moja.
جسد واحد وروح واحد كما دعيتم ايضا في رجاء دعوتكم الواحد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu ni roho, na watu wataweza tu kumwabudu kweli kwa nguvu ya roho wake."
الله روح. والذين يسجدون له فبالروح والحق ينبغي ان يسجدوا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.
وارواح الانبياء خاضعة للانبياء.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana mkate wa mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na aupaye ulimwengu uzima."
لان خبز الله هو النازل من السماء الواهب حياة للعالم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mungu ni mwaminifu; yeye aliwaita ninyi muwe na umoja na mwanae yesu kristo bwana wetu.
امين هو الله الذي به دعيتم الى شركة ابنه يسوع المسيح ربنا
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ama hakika, mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; na mungu ni mmoja.
واما الوسيط فلا يكون لواحد. ولكن الله واحد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kila kitu alichoumba mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,
لان كل خليقة الله جيده ولا يرفض شيء اذا اخذ مع الشكر
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini tukiziungama dhambi zetu, basi mungu ni mwaminifu na mwadilifu, naye atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote.
ان اعترفنا بخطايانا فهو امين وعادل حتى يغفر لنا خطايانا ويطهرنا من كل اثم.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hayo yote yanathibitisha kwamba hukumu ya mungu ni ya haki, na matokeo yake ninyi mtastahili utawala wake ambao kwa ajili yake mnateseka.
بينة على قضاء الله العادل انكم تؤهلون لملكوت الله الذي لاجله تتألمون ايضا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa maana, hata kama dhamiri yetu yatuhukumu, twajua kwamba mungu ni mkuu zaidi kuliko dhamiri, na kwamba yeye ajua kila kitu.
لانه ان لامتنا قلوبنا فالله اعظم من قلوبنا ويعلم كل شيء
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini napenda pia mjue kwamba kristo ni kichwa cha kila mwanamume, na mwanamume ni kichwa cha mkewe, na mungu ni kichwa cha kristo.
ولكن اريد ان تعلموا ان راس كل رجل هو المسيح. واما راس المرأة فهو الرجل. وراس المسيح هو الله.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa maana mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa mungu ni uzima wa milele katika kuungana na kristo yesu, bwana wetu.
لان اجرة الخطية هي موت. واما هبة الله فهي حياة ابدية بالمسيح يسوع ربنا
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: