Results for uadilifu translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

uko wapi uadilifu wao?

Arabic

يا ريت نعلي صوتها ونوصل قصتها للكل.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa unyofu na uadilifu mbele yake, siku zote za maisha yetu.

Arabic

بقداسة وبر قدامه جميع ايام حياتنا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mlikombolewa kutoka utumwa wa dhambi, mkawa watumwa wa uadilifu.

Arabic

واذ أعتقتم من الخطية صرتم عبيدا للبر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila anayepaswa kunywa maziwa huyo ni mtoto bado, hajui uadilifu ni nini.

Arabic

لان كل من يتناول اللبن هو عديم الخبرة في كلام البر لانه طفل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.

Arabic

وثمر البر يزرع في السلام من الذين يفعلون السلام

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa baba, nanyi hamtaniona tena;

Arabic

واما على بر فلاني ذاهب الى ابي ولا ترونني ايضا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya mungu.

Arabic

ومتى جاء ذاك يبكت العالم على خطية وعلى بر وعلى دينونة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.

Arabic

ولكننا بحسب وعده ننتظر سموات جديدة وارضا جديدة يسكن فيها البر

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nanyi wakuu, watendeeni watumwa wenu kwa uadilifu na haki, mkikumbuka kwamba nanyi pia mnaye bwana mbinguni.

Arabic

ايها السادة قدموا للعبيد العدل والمساواة عالمين ان لكم انتم ايضا سيدا في السموات

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa ujumbe wa kweli na kwa nguvu ya mungu. uadilifu ndiyo silaha yetu upande wa kulia na upande wa kushoto.

Arabic

في كلام الحق في قوة الله بسلاح البر لليمين ولليسار

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama tunasubiri kipande kidogo cha plastiki kifafanue uadilifu, basi tumeshashindwa – na ni budi tutafute ufafanuzi mzuri zaidi.

Arabic

تشريح الأخلاق هو أسوأ تفسير لها وإذا كنا فى انتظار قطعة صغيرة من البلاستيك لتعريف معنى الأخلاق، إذن فلقد فشلنا ويجب علينا إيجاد تعريف آخر.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

karibuni kwenye unafiki na kujidanganya ambavyo kwa pamoja vinadunda katikati ya roho mitazamo ya kihafidhina ya kidini juu ya wanawake na uadilifu katika kufanya mapenzi.

Arabic

مرحباً بالنفاق والإنكار اللذان حركا قلوب النظريّات الدينية المحافظة على المرأة وعفتها، وفى مصر هذه النظريات المحافظة متساوية بين المسلمين والمسحيين.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mustapha sesay, balozi wa uadilifu wa afrika magharibi aliandika kuhusu ufisadi katika sekta ya maji kwenye mtandao wa waandishi wa habari wa wash wa afrika magharibi :

Arabic

كتب سفير غرب أفريقيا لسلامة المياه مصطفي سيسي عن الفساد في قطاع المياه على شبكة صحافيو "واش":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na sasa imebakia tu kupewa tuzo la ushindi kwa maisha ya uadilifu, tuzo ambalo bwana hakimu wa haki, atanipa mimi siku ile na wala si mimi tu, ila na wale wote wanaotazamia kwa upendo kutokea kwake.

Arabic

واخيرا قد وضع لي اكليل البر الذي يهبه لي في ذلك اليوم الرب الديان العادل وليس لي فقط بل لجميع الذين يحبون ظهوره ايضا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama muislamu, ninajua kuwa qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.

Arabic

كمسلمة، أعلم أن القرآن يدعو الى العفة بين الرجال والنساء، لكن هاجس المحافظة مع النساء فقط يعنى أن النساء متوقع منهم الالتزام بتحريم الجنس خارج نطاق الزواج.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ripoti juu ya "utoaji rushwa katika sekta ya maji" kupitia mtandao wa uadilifu wa maji katika kitabu chenye jina la "mafunzo ya mwongozo wa uadilifu wa maji " inasema kwamba katika jangwa la sahara afrika, asilimia arobaini na nne (44%) ya nchi haina uwezekano wa kufikia lengo la maendeleo ya milenia la upatikanaji wa maji ya kunywa, asilimia themanini na tano (85%) hawana uwezekano wa kufikia kipengele cha usafi wa mazingira.

Arabic

في تقرير عن "الفساد في قطاع المياه" في كتاب نشرته شبكة سلامة المياه بعنوان "دليل التدريب في سلامة المياه" يظهر أن 44% من دول جنوب الصحراء الأفريقية غير مرجح أن تبلغ الهدف الإنمائي للألفية في شرب المياه، و85% غير مرجح حصولهم على نظام للصرف الصحي.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,926,378,051 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK