Results for yaani translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

yaani

Arabic

hairuhusiwi

Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambaye kwa njia yake tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.

Arabic

الذي لنا فيه الفداء بدمه غفران الخطايا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka.

Arabic

لاني لست افعل الصالح الذي اريده بل الشر الذي لست اريده فاياه افعل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.

Arabic

فانه لملائكة لم يخضع العالم العتيد الذي نتكلم عنه.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.

Arabic

طريقا كرّسه لنا حديثا حيّا بالحجاب اي جسده

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kwa damu yake kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake

Arabic

الذي فيه لنا الفداء بدمه غفران الخطايا حسب غنى نعمته

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yaani ni kama vile, kumwaga damu ya mkristo ni halali (yaani inaruhusiwa katika uislam).

Arabic

لقطة لتغريدة للمذيع محمد صابر وهو سعيد بقتل الشيعة في مصر، تمت مشاركة الصورة بواسطة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"waheshimu baba na mama yako," hii ndiyo amri ya kwanza ambayo imeongezewa ahadi, yaani,

Arabic

اكرم اباك وامك. التي هي اول وصية بوعد.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku iliyofuata, yaani julai 8, polisi walifika tena na kuizingira nyumba wakishinikiza kujitokeza kwa mtoto aliyechukua video ya mahojiano.

Arabic

سيخرج والدي من السجن عاجلا أو آجلا. أنا لا أفعل كل هذا من أجل والدي.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si kwa watu wote ila kwa wale mungu aliokwisha wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka wafu.

Arabic

ليس لجميع الشعب بل لشهود سبق الله فانتخبهم. لنا نحن الذين اكلنا وشربنا معه بعد قيامته من الاموات‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa mabaa hayo matatu yaani, moto, moshi na kiberiti, yaliyokuwa yanatoka katika vinywa vyao;

Arabic

من هذه الثلاثة قتل ثلث الناس من النار والدخان والكبريت الخارجة من افواهها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana mungu ametia mioyoni mwao nia ya kutekeleza shabaha yake, yaani kwa kukubaliana wao kwa wao na kumpa huyo mnyama mamlaka yao ya kutawala, mpaka hapo neno la mungu litakapotimia.

Arabic

لان الله وضع في قلوبهم ان يصنعوا رأيه وان يصنعوا رأيا واحدا ويعطوا الوحش ملكهم حتى تكمل اقوال الله.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu aliinuliwa juu mpaka upande wa kulia wa mungu, akapokea kutoka kwa baba ile zawadi aliyoahidi yaani roho mtakatifu; na mnachoona sasa na kusikia ni mmiminiko wa huyo roho.

Arabic

‎واذ ارتفع بيمين الله واخذ موعد الروح القدس من الآب سكب هذا الذي انتم الآن تبصرونه وتسمعونه‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo, kitengo cha utetezi cha global voices, kinazindua tovuti mpya inayoitwa threatened voices, yaani, sauti zinazotishwa ili kusaidia kufuatilia unyamazishaji wa uhuru wa kujieleza wa mtandaoni.

Arabic

اليوم يطلق دفاع الأصوات العالمية موقعاً جديداُ يدعى أصوات مهددة للمساعدة في تتبع قمع حرية التعبير على الانترنت.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kinachoshangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu ambao miongoni mwao ndio wanaolaani kitendo hiki na kwa upande mwingine watu hawa wanaamini kuwa kumwaga damu ya muislam ni haramu (yaani hairuhusiwi katika uislam).

Arabic

@adel_salib: مندهش من المندهشين إن الشرطة وقفت تتفرج علي قتل الشيعة؛ إذا كان الشرطة كانت من شهرين بتضرب الكتدرائية أنتم عالم مغيبين ولا بتستهبلوا؟

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika afrika, hivi karibuni tulionyesha mashine ya kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3d iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini togo na mashine ya kukagua usahihi wa maneno katika lugha ya spell ki-bambara .

Arabic

كجزء من سلسلة الابتكار المصنوعة في افريقيا، قد عرضنا مؤخرًا الطباعة ذات الابعاد الثلاثية المصنوعة من المخلفات الالكترونية في توجو والمدقق الإملائى للغة بامبارا.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili wetu, itakapong'olewa, mungu atatupa makao mengine mbinguni, nyumba ya milele isiyotengenezwa kwa mikono.

Arabic

لاننا نعلم انه ان نقض بيت خيمتنا الارضي فلنا في السموات بناء من الله بيت غير مصنوع بيد ابدي.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kasbah square,lilipo jengo la baraza la mawaziri, likawa shabaha ya waandamanaji na wale wengine waliokuwa wamekaa, ambayo ilitafuta namna ya kukiangusha chama tawala cha kilichokuwa kimechukiwa sana (sasa kimesambaratishwa), rdc (yaani kwa vifupisho vya kifaransa le rassemblement constitutionnel démocratique, kwa kiswahili mkutano wa kikatiba na kidemokrasia), ambacho kilihusishwa na ufisadi na unyanyasaji.

Arabic

ميدان القصبة - حيث يقع مجلس الوزراء - أصبح مركزاً للاعتصامات والاحتجاجات، التي سعت إلى الاطاحة بالحزب الحاكم السابق المكروه بشدة (والمنحل الآن) - التجمع الدستوري الديمقراطي - الذي كان مرتبطاً بالظلم والفساد.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,857,045 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK