Results for mhe mkuu wa mkoa kaskazini kusema ... translation from Swahili to Danish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Danish

Info

Swahili

mhe mkuu wa mkoa kaskazini kusema machache

Danish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Danish

Info

Swahili

wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa pilato, mkuu wa mkoa.

Danish

og de bandt ham og førte ham bort og overgave ham til landshøvdingen pontius pilatus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana.

Danish

og han svarede ham end ikke på et eneste ord, så at landshøvdingen undrede sig såre.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha askari wa mkuu wa mkoa wakamwingiza yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia kikosi kizima.

Danish

da toge landshøvdingens stridsmænd jesus med sig ind i borgen og samlede hele vagtafdelingen omkring ham.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.

Danish

men på højtiden plejede landshøvdingen at løslade mængden een fange, hvilken de vilde.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakati galio alipokuwa mkuu wa mkoa wa akaya, wayahudi walimvamia paulo kwa pamoja na kumpeleka mahakamani.

Danish

men medens gallio var statholder i akaja, stode jøderne endrægtigt op imod paulus og førte ham for domstolen og sagde:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wekeni farasi kadhaa kwa ajili ya paulo; mfikisheni salama kwa felisi, mkuu wa mkoa."

Danish

og at de skulde bringe lastdyr for at kunne lade paulus ride og føre ham sikkert til landshøvdingen feliks.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilipokuwa damasko, mkuu wa mkoa, aliyekuwa chini ya mfalme areta, alikuwa akiulinda mji wa damasko ili apate kunikamata.

Danish

i damaskus holdt kong aretas's statholder damaskenernes stad bevogtet for at gribe mig;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkuu wa mkoa akawauliza, "ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?" wakamjibu, "baraba!"

Danish

og landshøvdingen svarede og sagde til dem: "hvilken af de to ville i, at jeg skal løslade eder?" men de sagde: "barabas."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baada ya siku tano, kuhani mkuu anania aliwasili kaisarea pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa sheria aitwaye tertulo. walimwendea yule mkuu wa mkoa wakamweleza mashtaka yao juu ya paulo.

Danish

men fem dage derefter drog ypperstepræsten ananias ned med nogle Ældste og en taler, tertullus, og disse førte klage for landshøvdingen imod paulus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mkuu wa mkoa alimwashiria paulo aseme. naye paulo akasema, "nafurahi kujitetea mbele yako nikijua kwamba umekuwa hakimu wa taifa hili kwa miaka mingi.

Danish

og paulus svarede, da landshøvdingen gav ham et vink, at han skulde tale: "efterdi jeg ved, at du i mange År har været dommer for dette folk, vil jeg frimodigt forsvare min sag,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini yohane alimgombeza herode, mkuu wa mkoa, kwa sababu alikuwa amemchukua herodia, mke wa ndugu yake, na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya yote aliyokuwa amefanya.

Danish

men da fjerdingsfyrsten herodes blev revset af ham for hans broders hustru, herodias's skyld og for alt det onde, som herodes gjorde,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka wa kumi na tano wa utawala wa kaisari tiberio, pontio pilato alikuwa anatawala mkoa wa yudea. herode alikuwa mkuu wa mkoa wa galilaya, na filipo, ndugu yake, alikuwa mkuu wa mikoa ya iturea na trakoniti. lusania alikuwa mkuu wa mkoa wa abilene,

Danish

men i kejser tiberius's femtende regeringsår, da pontius pilatus var landshøvding i judæa, og herodes var fjerdingsfyrste i galilæa, og hans broder filip var fjerdingsfyrste i ituræa og trakonitis's land og lysanias fjerdingsfyrste i abilene,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,793,378,509 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK