From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na akakumbuka jina la mola wake mlezi, na akasali.
and mentions the name of his lord and prays.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:
baada ya kusema hayo, paulo alipiga magoti pamoja nao wote, akasali.
and when he had thus spoken, he kneeled down, and prayed with them all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali:
and he was withdrawn from them about a stone's cast, and kneeled down, and prayed,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
akaenda tena mara ya pili akasali: "baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kinipite bila mimi kukinywa, basi, mapenzi yako yafanyike."
he went away again the second time, and prayed, saying, o my father, if this cup may not pass away from me, except i drink it, thy will be done.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akasali: "baba yangu, kama inawezekana, aacha kikombe hiki cha mateso kinipite; lakini isiwe nitakavyo mimi, ila utakavyo wewe."
and he went a little further, and fell on his face, and prayed, saying, o my father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as i will, but as thou wilt.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting