Results for alituma translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

alituma twiti:

English

she tweets :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alituma picha yako na video na nambari

English

sent your photo and video and number

Last Update: 2020-07-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@bongocelebrity alituma ujumbe kupitia twita :

English

@bongocelebrity tweeted :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@clivembayimbayi alituma ujumbe huu wenye hasira:

English

@clivembayimbayi posted an angry tweet:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwenye twita, @brendahnyakudya alituma ujumbe unaomnukuu mugabe:

English

on twitter, @brendahnyakudya tweeted a mugabe quote:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alituma jumbe kadhaa kwenye ukurasa wake wa twita jumatatu mchana:

English

he posted messages to his twitter page on monday afternoon:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mpiga picha anayejitegemea monasosh alituma picha za wanawake wanaoandamana kwenye flickr

English

independent photographer monasosh posted photographs of the women protesters on flickr.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alituma picha zake katika ukurasa wake wa facebook, akielezea uharibifu wa majengo katika jiji la homs.

English

he has posted his pictures on his facebook, illustrating the destruction of buildings in homs city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mtumiaji wa twita mbaa alituma picha ya skrini yake, ambayo ilifurika mazungumzo ya pambano hilo:

English

twitter user mbaa sent a capture of his screen, which was flooded with talk of the match:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mshiriki wa warsha kutoka qatar muhammad basheer alituma picha kutoka kwenye mada hiyo katika ujumbe wa twita:

English

qatari workshop participant muhammad basheer tweeted a photo from the presentation:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

morse alituma ujumbe huu wa kwanza wa twita kwenye majira ya saa 12 jioni kwa saa za haiti, akiripoti kuwa:

English

morse posted his initial tweet around 6:00pm haiti time, reporting that:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bassem meddeb katika hali ya kusisimuka, alituma ujumbe kupitia mtandao wa twita kuhusu kuperuzi maelfu ya barua pepe:

English

bassem meddeb tweeted enthusiastically about the search through thousands of emails:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadaye alituma vifaa vya kupima virusi 5,000, barakoa za uso 100,000 na vifaa za kusaidia kupumua 5 kuelekea panama.

English

he later sent 5,000 testing kits, 100,000 face masks and 5 ventilators to panama.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bw jean francois labadie, mmoja wa walionusurika alituma taarifa alizokusanya kuhusu janga hilo muda mfupi baada ya usiku wa manane leo hii alfajiri:

English

survivor jean francois labadie posted his recollections of the disaster a few hours after midnight this morning:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amalia alituma wito kwenye radio alhamisi asubuhi na watu wakaja kuendelea na wasiwasi kidogo kuhusu majibu ya bosi wangu kuhusu njia yangu ya kusimamia matatizo ya afya mitaa yetu na kuvuka mipaka ..

English

amalia send a radio call on thursday morning and people came progressively a little worried about the reaction of my boss regarding my way of managing our local health problems and crossing borders ..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nadia el awady, aliyekuwa mwandishi wa habari wa iol, alikuwa akifuatilia kwa karibu hali ya mambo na alituma kwenye blogu yake tamko lililotolewa na wafanyakazi wa islamonline:

English

nadia el awady, an ex-journalist for iol, was closely following the situation and posted a statement issued by islamonline striking employees on her blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada yamijadala kadhaa ya kulazimisha, kristof alituma maoni katika blogu yake ambapo aliahidi kutokufanya hivyo tena -baada ya muda mfupi alipinga madai kwamba alimhatarisha mtoto kwa kumtambulisha.

English

after several forceful debates, kristof posted a reply on his blog in which he promised not to do it again - all the while refuting criticism that he had endangered the child by identifying.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfanyabiashara jack ma alituma vifaa vya kupima virusi milioni 1.1, barakoa za uso milioni 6, na suti za kujikinga 60,000 kuelekea addis ababa, ethiopia kwa kusambazwa na muungano wa afrika.

English

businessman jack ma sent 1.1 million testing kits, 6 million face masks, and 60,000 protective suits to addis ababa, ethiopia for distribution by the african union.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

dennis matanda, ambaye siku za karibuni alituma sehemu ya pili ya mfululizo wake wenye jina la "rais afuatiaye wa uganda", anabashiri yafuatayo kuhusu yule atakayemrithi museveni:

English

dennis matanda, who recently posted the second part of a four-part series titled "uganda's next president," offers his predictions on who will succeed museveni:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye, morse alituma tena ujumbe wa twita @isabellemorse, ambaye aliripoti “uharibifu mkubwa kwenye mtaa wa grand (ave dessalines) daniel morel’s iko sawa, stesheni ya polisi, downtown teleco, kanisa la mtakatifu anne yote yameangamia”.

English

later, morse re-tweeted @isabellemorse, who reported " much destruction on grand rue (ave dessalines) daniel morel's ok.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,863,012,137 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK