Results for aliyemfufua translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

aliyemfufua

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

basi, mungu aliyemfufua bwana kutoka wafu atatufufua nasi pia kwa nguvu yake.

English

and god hath both raised up the lord, and will also raise up us by his own power.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini mungu aliyemfufua yesu, bwana wetu, kutoka wafu.

English

but for us also, to whom it shall be imputed, if we believe on him that raised up jesus our lord from the dead;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba yule aliyemfufua bwana yesu atatufufua sisi pia pamoja na yesu na kutuweka mbele yake pamoja nanyi.

English

knowing that he which raised up the lord jesus shall raise up us also by jesus, and shall present us with you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa njia yake, ninyi mnamwamini mungu aliyemfufua kutoka wafu na kumpa utukufu; na hivyo imani na matumaini yenu yako kwa mungu.

English

who by him do believe in god, that raised him up from the dead, and gave him glory; that your faith and hope might be in god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa roho wa mungu aliyemfufua kristo kutoka wafu anaishi ndani yenu, basi huyo aliyemfufua kristo kutoka wafu ataipa uzima miili yenu yenye hali ya kufa; atafanya hivyo kwa njia ya roho wake akaaye ndani yenu.

English

but if the spirit of him that raised up jesus from the dead dwell in you, he that raised up christ from the dead shall also quicken your mortal bodies by his spirit that dwelleth in you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ndugu wote walio pamoja nami, tunayaandikia makanisa yaliyoko galatia. mimi nimepata kuwa mtume si kutokana na mamlaka ya binadamu, wala si kwa nguvu ya mtu, bali kwa uwezo wa yesu kristo na wa mungu baba aliyemfufua yesu kutoka wafu.

English

and all the brethren which are with me, unto the churches of galatia:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,770,560,289 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK