From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
amri ya mwenyezi mungu itafika tu.
allah’s edict is coming!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hiyo ni amri ya mwenyezi mungu amekuteremshieni.
such is the command of allah that he has sent down to you.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
amri ya kuzuia
lifted restraining order
Last Update: 2025-02-22
Usage Frequency: 1
Quality:
na amri ya mwenyezi mungu ni lazima ifanyike.
and ever is the decree of allah accomplished.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
amri ya mwenyezi mungu itafika tu. basi msiihimize.
allah's judgement has (all but) come; do not, then, call for its speedy advent.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na amri ya mwenyezi mungu ni kudura iliyo kwisha kadiriwa.
allah's command is a decree firmly determined.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi ikija amri ya mwenyezi mungu huhukumiwa kwa haki, na hapo wapotofu watakhasiri.
and when the command of allah comes the matter will be justly decided; and the vaindoers will be lost.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wakaasi amri ya mola wao mlezi.
but they rebelled against the command of their lord.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
je, mmeitangulia amri ya mola wenu mlezi?
could you not patiently wait for the decree of your lord?'
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi paulo, mtume wa yesu kristo kwa amri ya mungu mwokozi wetu na yesu kristo tumaini letu,
paul, an apostle of jesus christ by the commandment of god our saviour, and lord jesus christ, which is our hope;
Last Update: 2024-04-24
Usage Frequency: 5
Quality:
kutokana na hayo, ni lazima watu wa mungu, yaani watu wanaotii amri ya mungu na kumwamini yesu, wawe na uvumilivu.
here is the patience of the saints: here are they that keep the commandments of god, and the faith of jesus.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na wakati ufaao ulipowadia, akaudhihirisha katika ujumbe wake. mimi nilikabidhiwa ujumbe huo nuutangaze kufuatana na amri ya mungu, mwokozi wetu.
but hath in due times manifested his word through preaching, which is committed unto me according to the commandment of god our saviour;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: