Results for awaasa wahitimu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

awaasa wahitimu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

zawadi kwa wahitimu

English

graduates

Last Update: 2024-12-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uwiano wa wahitimu wa vyuo na upatikanaji wa ajira ni kwa sasa unaaminika kuwa mdogo kabisa katika historia ya china. .

English

the ratio of college graduates to jobs is believed to be the lowest in chinese history .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini ufaransa sheria ya guéant inazuia uwezekano wa wahitimu wa masomo kutoka nje kuajiriwa, jambo ambalo limezua miitiko mablimbali.

English

in france, the guéant act restricts foreign graduates' possibility of recruitment, giving birth to various reactions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

labda kwa wahitimu wa vyuo wa siku za hivi karibuni, jambo kubwa linalowakabili si namna ya kulibadilisha taifa, bali namna ya kuhimili hali ya uchumi inayosikitisha.

English

perhaps for most recent college graduates, the most pressing issue facing them is not how to change the nation, but how to survive in a gloomy economy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati takribani wahitimu wa vyuo milioni saba wanaingia katika soko la ajira, ajira mpya milioni tisa tu ndizo zilizoandaliwa, na wahitimu wa vyuo vya china ni lazima wagombee ajira pamoja na wanafunzi wanaorejea kutoka nchi za nje walikokwenda kusoma na pia wahitimu wa shule za upili na wale wa vyuo vya ufundi.

English

while almost seven million college graduates are entering the job market, only nine million new jobs have been created, and college graduates must compete with returning students from abroad, as well as high school graduates and trade school graduates.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sera mpya ya elimu iliyozinduliwa na rais jakaya kikwete mnamo februari 13, 2015, inayokwenda sambamba na mpango wa taifa kuelekea 2025 inarefusha elimu za msingi kutoka miaka saba ya sasa mpaka miaka 11, na kuifanya elimu hiyo kuwa bure ikiwa ni pamoja na kuondoa mtihani wa taifa kwa wahitimu wa elimu ya msingi kuingia sekondari.

English

the new education system launched by president jakaya kikwete on february 13, 2015, in line with national vision 2025 will also extend basic education from seven years to 11 years, provide free education at primary and education levels and abolish national examinations for primary school levers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,889,173,411 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK