Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kujali
care
Last Update: 2018-09-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kujali sana
you are blessed
Last Update: 2022-08-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali nini kinatokea
no matter what happen
Last Update: 2023-12-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila
none
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
bila yeye
mi siwezi
Last Update: 2023-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila mtoto
equitable treatment
Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 35
Quality:
Reference:
bila kujali asili yako, sisi wote tuna maslahi katika hili.
whatever your background, all of us have a shared interest in this.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini leo, bila kujali uraia, wote tuko pamoja kuomboleza.
but today, regardless of nationality, we are all united in grief.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
namna mwanamke anavyovaa ni mada yenye mjadala mkali bila kujali uko wapi duniani humu.
how a woman dresses is a highly contentious subject no matter where you are in the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i love yall wote bila kujali nini kuwa alisema au wamefanya mimi tu kukaa halisi hakuna jambo gani
regardless of
Last Update: 2024-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini hakuna mtu serikalini anayeonekana kujali kuhusu watoto hao.
but no one in the authority seems to have any concerns about them.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ubora wa maisha ya mtu utaamuliwa na kina cha kujitolea kwao kwa ubora, bila kujali uwanja wao uliochaguliwa.
the quality of a person's life will be determined by the depth of their commitment to excellence, no matter what their chosen field.
Last Update: 2024-01-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali mashaka yaliyopo, kumekuwa na mwamko mpya kati ya watu wa kizazi changu juu ya uchaguzi wa 2011.
regardless of the cynicism, there has been renewed vigor among the people of my generation regarding the 2011 elections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatima ya haya yote haitakuwa aibu yake yeye mwenyewe pekee bali ya kila m-zambia bila kujali chama chake.
ultimately it is not only him to experience the shame but every zambian regardless of the party one belongs to.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali kionjo chako cha muziki, huwezi kukana kuwa wimbo huu una msukumo na nguvu ukiwa na kiitikio:
whatever your musical taste may be, the song is undeniably powerful and energetic with a rousing chorus:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali maendeleo yasiyopingika katika nyingi ya nchi za kiafrika, ukosefu wa usawa wa kijamii bado unaendelea kustua barani afrika.
despite some undeniable economic progress in many african nations, social inequality is still even more striking on the african continent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wasemaji kadhaa walisisitiza kwamba kenya lazima ishinde tofauti zilizopo na ijifunze kuishi pamoja bila kujali tofauti za utamaduni, makabila na dini.
several speakers insisted that kenya must overcome its differences and learn to live together despite differences in culture, ethnicity and religion.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maombi yangu yaliangukia kwenye masikio yasiyosikia na watunza habari wa mtandaoni wa kimisri walisambaza zaidi uongo huo bila kujali kuchunguza ukweli au kunukuu chanzo cha habari.
my request fell on deaf ears and many egyptian news portals further spread the lie without bothering to investigate the facts or the sources quoted.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.
rajoelina announced the creation of a new transitional government, with himself as its leader, in spite of the fact that the current government is still in place.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila kujali mashaka dhidi ya wanajeshi waislamu yaliyokuwapo kabla ya shambulizi hili, mtu anaweza kuwa na hofu kwamba mashaka hayo yamepata msukumo mpya baada ya mauaji ya watu kule fort hood.
whatever suspicions of muslim service members existed before the shootings, one can only fear that they may have been heightened by the mass murder in fort hood.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: