From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
bure kabisa hii watu
فارسی
Last Update: 2022-03-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bure kabisa
completely useless
Last Update: 2016-07-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
leo hii, watu hawa wawili wanawasiliana kila mara na wote abdulahi na ahmed wanaendelea kusaka marafiki na wanafamilia zaidi.
today, the two keep in touch regularly and both abdulahi and ahmed continue to search for more friends and family members.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
amkeni! anzeni kuishi vema, na acheni kutenda dhambi. baadhi yenu hawamjui mungu kabisa. hii nawaambieni, ni aibu kubwa kwenu!
awake to righteousness, and sin not; for some have not the knowledge of god: i speak this to your shame.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ili kukabiliana na hali hii, watu wengi wameanza kuandika hadithi na kadalika katika twitter kusema ni nini haswa wanapenda kuhusu afrika, wakitumia maneno #whatiloveaboutafrica.
as a counter measure, many people started posting stories on twitter about "what they love about africa" with the hash tag #whatiloveaboutafrica.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
katika makala yenye kichwa: kutopatikana kwa aljazeera.net nchini tunisia, amin zayani ameeleza wazi utata wa kuzuiwa kwa aljazeera.net: watunisia wanaweza kutazama al jazeera bure kabisa ilihali tovuti yake ikichungwa.
in his post entitled:aljazeera.net inaccessible in tunisia , amin zayani exposes the controversial censorship of aljazeera.net: tunisians can watch al jazeera freely whereas the website is censored.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kufuatia mabadiliko ya utolewaji wa huduma za afya ambazo zilitolewa bure kabisa baada tu ya kumalizika kwa mgogoro wa baada ya uchaguzi, sera iliyoanzishwa na serikali ya côte d'ivoire, ambayo sasa imeelekeza baadhi ya huduma tu ndizo zitakuwa bure, wafanyakazi wa taasisi kadhaa za afya hawajapata mishahara yao kwa wakati.
from the total no-fees for healthcare initiated by the state of côte d'ivoire after the end of the post-electoral crisis to free selected healthcare services, employees of certain health institutions have yet to receive their salary in a regular manner.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: