Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lengo la kazi
public transport driver
Last Update: 2023-11-16
Usage Frequency: 1
Quality:
lengo la thesis au uwasilishaji.
1. the information will be published without my name/child’s name/relatives name attached and every attempt will be made to ensure anonymity. i understand, however, that complete anonymity cannot be guaranteed. it is possible that somebody somewhere - perhaps, for example, somebody who looked after me/my child/relative, if i was in hospital, or a relative - may identify me
Last Update: 2023-11-23
Usage Frequency: 1
Quality:
lengo la kazi katika mipango miji na mkoa
occupation goal in urban and regional planning
Last Update: 2023-10-12
Usage Frequency: 1
Quality:
@lunarnomad alizungumzia kuhusu lengo la kampeni hiyo:
@lunarnomad spoke about the intention behind the hashtag:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maudhui na lengo la habari huwa haliwezi kuandaliwa na waandishi.
the content and the focus cannot be decided by the reporters.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anataka arudi huko kwa lengo la kuiona nchi yake au labda kuishi huko.
to get to know her land and maybe live there.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alihisi kuwa kwa kumpiga ilikuwa kama onyo, lililokuwa na lengo la kumfanya asiendelee kublogu.
he feared beating was a threat, intended to make him stop blogging.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lengo la mfanyakazi huyo lilikuwa kupata maoni kutoka kwa watu kuhusu utendaji wa wizara hiyo.
the intention of the staff was to solicit feedback from the people about the performance of the ministry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anadai kwamba lengo la muswada huu ni kuwalinda watoto na ‘familia zilizozoeleka kitamaduni’.
he claims that the purpose of the bill is to protect children and the "traditional family".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lengo la kazi nikuifanya kampuni kua nzuri na kila mtu kufurahia kazi yangu na huduma inayo tolewa kwenye kampuni yangu
career objective
Last Update: 2024-01-30
Usage Frequency: 1
Quality:
nina lengo la kujitolea kwa lengo la kukuza ujuzi wangu na kusaidia kazi mbalimbali katika ofisi yako, nitakazopangiwa na ofisi yako
Last Update: 2024-01-08
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi ni mbinu za kisiasa zilizo na lengo la kukipendelea chama tawala.
some political observers believe that the postponement is a political strategy meant to favour the ruling party.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanasheria wa wilaya ya oran, mji wa pili kwa ukubwa nchini aljeria, alimtaka mchoraji huyo kukiri kuwa alikuwa na lengo la kumdhihaki rais.
the district attorney of oran, the second largest city in algeria, located 400 kilometers northwest of the capital algiers, wanted the cartoonist to admit that he had the intention of insulting the president.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ashenafi alikuwa ndio kwanza ameanzisha umoja wa wanasheria wanawake miaka miwili iliyopita kwa lengo la kupigania haki za wanawake kwa mujibu wa katiba mpya ya ethiopia.
ashenafi had just established the women lawyer's association two years earlier to fight for the rights of women according to ethiopia's then-new constitution.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
harakati hizi zilianzishwa mnamo mei 2011 na vikundi mbalimbali vilivyo nje ya uzbek vyenye msimamo wa kuipinga serikali kwa lengo la kuhakikisha kuwa utawala wa rais islam karimov unaangushwa.
the movement was formed in may 2011 from a number of foreign-based uzbek opposition movements and rights organizations and stated its goal as being the downfall of president islam karimov's regime.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hossein ronaghi malki mwanablogu anayetumikia kifungo cha miaka 15 jela alianza mgomo wake wa kutokula kuanzia wiki iliyopita. kwenye mtandao wa facebook kampeni imeanzishwa yenye lengo la kummwuunga mkono.
hossein ronaghi malki a jailed blogger who is serving a 15-year sentence in prison started his hunger strike last week.a facebook campaign has been launched to support him.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"lengo la shindano hilo la miradi mipya ni kuwaunganisha waanzilishi wa biashara hizo na wawekezaji na wadau wengine" kupitia ukurasa wa facebook wa tukio hilo kwa ruhusa
"the objective of the start up cup is to connect founders with business investors and vcs." via the facebook page of the event with permission
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
unaulizwa kushiriki katika utafiti ili kujua maarifa ya uchunguzi wa saratani ya kizazi, imani, na tabia. lengo la mradi wa utafiti ni kuamua uhusiano kati ya maarifa na imani yako na tabia zako za uchunguzi
you are being asked to take part in a reasearch study to determine cervical cancer screening
Last Update: 2021-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@commsbh: waziri: wizara inafanya utafiti kwa lengo la kutengeneza udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya sauti. #bahrain
@commsbh: minister: mosc is conducting a research study for the purpose of setting up controls over the usage of (voip) technology. #bahrain
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kitumizi hiki kimebuniwa na zabatak, (@zabatak),ni mkakati usio wa kimaslahi wenye lengo la kuifanya misri isiwe na hongo, wala isiwe na rushwa na iwe salama.
the application is created by zabatak, (@zabatak), a non-profit initiative which aims at making egypt become bribery free, corruption-free and safe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: