Results for harakati za siasa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

harakati za siasa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kinadharia, waziri mkuu lazima asiwe sehemu ya harakati za siasa.

English

in theory, the prime minister should not belong to any political movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haikujalisha, harakati za kukabiliana na udhalilishaji huo zinaendelea.

English

nevertheless, initiatives to combat harassment continue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanachi wa ghana wakishiriki katika harakati za #occupyflagstaffhouse.

English

ghanaian citizens taking part in #occupyflagstaffhouse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je harakati za kutovaa nguo za ndani ni ‘upinzani bubu’?

English

is the pantyless movement a form of ‘passive resistance’?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kusema ukweli, hakuna tatizo kuhusu harakati za janeti.

English

there is, of course, nothing wrong with janet’s ambitions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook wa harakati za shahbag.

English

image courtesy shahbag movement facebook page.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aung zaw alimwelezea win tin kama mwanga elekezi wa harakati za demokrasia:

English

aung zaw described win tin as a guiding light of the democracy movement:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari zozote zinazohusiana na harakati za tiananmen bado zinazuiwa nchini china.

English

any information related to the tiananmen movement is still censored in china.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mohiuddin, aliyejitangaza hadharani kuwa ni mtu asiyeamini mungu, amekuwa akizungumzia harakati za shahbag na aliandika kupinga dini na siasa za udini.

English

mohiuddin, a self proclaimed atheist, has been vocal for the shahbag movement and wrote against religion and religious politics.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

damu inayomwagiga ndiyo imekisambaratisha chama hicho na kinajizika chenyewe kwenye medani za siasa

English

the blood spilled will dissolve their brotherhood and they will be banished from political life

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pu vile vile alishiriki kwenye harakati za kudai demokrasi mwaka 1989 wakati huo akiwa mwanafunzi.

English

pu also participated in the 1989 pro-democracy movement as a student.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@samahanwar: kuvaa kanzu aina ya thobe si vazi muafaka katika harakati za mapinduzi

English

@samahanwar: wearing a thobe is not suitable for revolutions

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“jukumu la wanawake katika harakati za kuilinda jamii halisi ya lumad ni la muhimu.

English

“the role of women in the struggle of the native lumad is important.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@ahmad_khalil: wakereketwa wa harakati za kiislam wameshawaua waumini wanne wa shia.

English

@ahmad_khalil: the salafists have killed four shia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukurasa huo wenye wafuasi 750, 000, umeonekana kuwa na sura ya harakati za mtandaoni kwa ajili ya wanawake.

English

with over 750, 000 followers, this page has been considered something of social media movement for iranian women.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika wakati ambao demokrasia ya ghana ipo katika uchanga wake, kitu cha mwisho tunachohitaji ni mtu kushabikia ghasia za siasa.

English

at a time when ghana's democracy is in its infancy, the last thing we need is someone encouraging political violence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo , facebook ni imekuwa ni zaidi kwa ajili ya michezo na akaunti za kugushi kuliko chombo kuwa chombo cha harakati za kiraia.

English

however, so far it is more a tool for playing games with fake accounts, rather than an instrument of civil protests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nimefuatlia harakati za aad na nimehitimisha kwamba mwelekeo wao wa msimamo na uelewa katika masuala ya kitaifa lazima yaungwe mkono na waghana wote wenye nia njema.

English

i have monitored the activities of aad and have come to the conclusion that their sense of objectivity and insight in national issues must be commended by all well meaning ghanaians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hivi karibuni alirudi nyumbani na kuendeleza harakati za kupambana na mila hiyo ya telefa, alitumaini kuwakinga wasichana na mikasa kama aliyokumbana nayo.

English

but she's recently returned and working on the issue of telefa, hoping to keep girls from facing an ordeal like she did.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi mnajua kwamba zambia huenda ingeweza kuwa moja ya nchi bora zaidi duniani kama wataalamu wetu wangeipenda zaidi nchi yao kwa kurudi nyumbani na kuchangia katika harakati za kuiendeleza?

English

do you know that zambia would probably be one of the best countries in the world if only our professionals would be more patriotic by coming back home to contribute towards the development of the country?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,790,316,408 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK