From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu. basi tutenge na hawa watu wapotovu.
(moses) said, "lord, i can only speak for myself and my brother; keep us away from the evil-doers".
hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake yeye. kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri?
"these our people have taken for worship gods other than him: why do they not bring forward an authority clear (and convincing) for what they do?