From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
antibodi kikawaida zinaweza kugunduliwa siku 14 baada ya kuanza kwa maambukizi.mapema aprili, uingereza ilipata kuwa hakuna kifurushi cha kipimo cha antibodi ilichonunua kuwa bora kutumika.
the antibodies are usually detectable 14 days after the onset of the infection.in early april, the uk found none of the antibody test kits it purchased were sufficiently good to use.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa kuna idadi ndogo ya visa, hii inaweza kusaidia katika kuunda kifurushi cha kupima kwa wagonjwa kupeleka katika gp zao binafsi na kuchunguza kukubalika kwake kwa wagonjwa.
if there are a small number of cases, this may assist in developing a test kit for patients to take to their own gp and explore its acceptability to patients.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ubadilishwaji halali wa vifurushi tanzania mwaka 2022 bila kuwataarifu wateja kulikuwa na mtumiaji wa mtandao wa zantel ambaye alinunua kifurushi cha shiling 2000 ambacho alikuwa anategemea kupata 1gb ,dakika 20 mitandao yote na dakika 20 zantel kwenda zantel pamoja na sms 20 ambapo alinunua kulingana na maelekezo yaliyokuwa yametolewa kwenye menu lakini baada ya kukamilisha ununuzi alipokea ujumbe wa sms kutoka katika mtandao huo wenye maelezo tofauti na ofa iliyokuwa imetolewa kwenye menu h
valid replacement of tanzania packages in 2022 without notifying customers there was a zantel network user who purchased the shiling 2000 package which was based on getting 1gb , 20 minutes all networks and 20 minutes zantel to zantel along with 20 smss where he purchased according to the instructions provided on the menu but upon completion of the purchase received an sms message from that network with different details and the offer provided on the menu hio ili mtaarifu kuwa amepokea mb 800,dakika 55, na sms 20 kwa wiki mitando yote baada ya hapo mteja aliamua kumpigia mtoa huduma na kumuomba achague vitu viwili kurudisha pesa au kuongeza mb 200,mtoa huduma alikubali kuwa kunachangamoto hio lakin hakukubali kuongeza mb wala kusitisha muamala
Last Update: 2022-11-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nchi ya uingereza pia ilikuwa imeunda kipimo kufikia tarehe 23 januari 2020.kampuni ya korea kusini ya kogenebiotech ,iliunda kifurushi cha kugundua sars-cov-2 kinachotegemea pcr cha hadhi ya kimatibabu (powerchek coronavirus) mnamo tarehe 28 januari 2020.
the united kingdom had also developed a test by 23 january 2020.the south korean company kogenebiotech developed a clinical grade, pcr-based sars-cov-2 detection kit (powerchek coronavirus) on 28 january 2020.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
coles, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari tarehe 8 machi, iliripoti kwamba hata baada ya kuweka vikomo vya kifurushi cha karatasi nne, "maduka mengine bado yalikuwa yanauza bidhaa zote za karatasi ndani ya saa moja ya kuwasilishwa", na kutaja hitaji hilo kuwa "lisilotarajiwa", huku aldi, kwenye chapisho la facebook siku ya jumanne ikilitaja kuwa "lisilotarajiwa".
coles, in its march 8 media release, reported that with the four-pack restriction in place, "many stores are still selling out within an hour of delivery", and called the demand "unprecedented", while aldi, in a facebook post on tuesday, called it "unexpected".
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.