Results for kitambulisho cha taifa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kitambulisho cha taifa

English

national id

Last Update: 2022-09-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

namba ya kitambulisho cha taifa

English

last name

Last Update: 2023-08-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kitambulisho cha mpiga kura

English

voter id100317597902

Last Update: 2022-06-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tallawah ametuma picha kutoka katika muhula wa 2010 wa kikundi cha taifa cha dansi cha jamaica.

English

tallawah posts photographs from the national dance theatre company of jamaica's 2010 season.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

eurukanaija ana ushauri kwa mke wa rais, ambaye matusi yake ya kiingereza yamegeuka kuwa kivutio cha taifa:

English

eurukanaija has some advice for the first lady, whose english expletives have morphed into a national lure: d tin consan the campaign wey you dey helep our presido, uncle jo and all im ‘umblerra’ friends do.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

isipokuwa kwa wakati mmoja, ambapo, nani mwingine ila polisi, aliomba kupata kitambulisho cha mpiga picha.

English

except at one point, when, who else but the police, went overboard, and asked for the id of a cameramen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tuliamua kutengeneza chemsha bongo yetu wenyewe kwa kutumia bashiri nyepesi zilizofanywa na kituo cha taifa cha kupambana na ugaidi kwenye kutunga maswali yake.

English

we decided to make our own quiz based on the simplistic assumptions the national counterterrorism center made, in its ranking system.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gambia, nchi ndogo ya afrika magharibi imetangaza kupitia kituo cha runinga cha taifa kwamba imejitoa kwenye jumuiya ya madola, ushirikiano wa nchi zipatazo 54 zilizowahi kuwa makoloni ya ufalme wa uingereza.

English

the tiny west african state of the gambia has announced via state television that it will withdraw from the commonwealth of nations, a fellowship of 54 countries that are mainly former colonies of the british empire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

castro espín alijadili suala hili kwenye tovuti yakituo cha taifa cha elimu ya jinsia(centro nacional de educación sexual 'cenesex'), taasisi anayoingoza.

English

castro espín addressed this issue on the national center for sex education's website,(centro nacional de educación sexual 'cenesex'), the institution which she also leads.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huko kambodia, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa kituo cha taifa cha usambazaji ili kudhibiti watoa huduma za intaneti, kituo hicho kina nia ya kuimarisha usalama wa kwenye mtandao dhidi ya picha za ngono, wizi pamoja na uhalifu mwingine wa kwenye mtandao.

English

in cambodia, the government is proposing to establish a state-run exchange point to control all local internet service providers which is intended to strengthen internet security against pornography, theft and other cybercrimes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maswali hayo yaliyochambuliwa kwenye karabrasha la ndani ya serikali lenye kurasa 36 lilipatikana kupitia jarida moja la mtandaoni na lilipangiliwa na kituo cha taifa cha kupambana na ugaidi ni sehemu ya mkakati mpana wa serikali wa kupambana na itikadi kali, unatoa mwito kwa jamii na viongozi wa dini wa kila mahali kufanya kazi na mashirika ya kiserikali na kusimamia sheria .

English

the system detailed in a 36-page internal government document obtained by the digital magazine was put together by the national counterterrorism center and is part of a wider government strategy for countering violent extremism, which calls for local community and religious leaders to work together with law enforcement and government agencies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

- jenerali laurent nkunda na chama chake cha taifa kwa ajili ya kulinda watu au congres national pour la defense du peuple (cndp) anadai kupigana kwa ajili ya kuwalinda wananchi wa kongo wa kabila la watusi dhidi ya wageni wasioalikwa na wala kutakiwa nchini humo,

English

-general laurent nkunda and his congres national pour la defense du peuple (cndp) claim to fight for the protection of the congolese tutsi population from the drc's most uninvited and unwelcome guests,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika barua ya pamoja ya kichungaji kwenye mkesha wa siku ya uhuru, makanisa makuu matatu ya zambia—mkutano mkuu wa maaskofu zambia, baraza la wakristo zambia, na umoja wa kiinjili wa zambia—yalisisitiza juu ya haja ya kuchukuliwa hatua za kupunguza umasikini kama kipaumbele cha taifa:

English

in a joint pastoral letter on independence day eve, zambia's three "mother" body churches—the zambia episcopal conference, christian council of zambia, and evangelical fellowship of zambia—stressed the need for poverty reduction as a top priority:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,364,899 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK