Results for kuchanganyikiwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuchanganyikiwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wengine walichagua kutumia utani kueleza kuchanganyikiwa kwao.

English

others have taken to humour to express their frustration.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mgongano wa jumbe hizo umepelekea kutokuwepo kwa uhakika na kuchanganyikiwa.

English

the clash of messages has led to uncertainty and confusion.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sifahamu ni kwa nini akili yangu inajisikia kuchanganyikiwa, yenye huzuni na masikitiko.

English

i don’t know why my mind feel so mixed, sad and sorrow.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo kama kutaki kuja kuchanganyikiwa baada ya kumaliza likizo yako na unataka kuwa makini zaidi na taarifa zako, soma kwa makini.

English

so, if you don't want post-holiday stress to be more serious for problems with your information, read carefully.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, inaonekana ibada za kidini zimemfanya mwanablogu huyu kujisikia kuchanganyikiwa kwa upande mmoja pamoja na kujisikia furaha kwa upande mwingine.

English

however, it seems religious devotion brought the blogger bewilderment as well as joy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangazo hilo lilikumbana na mawazo ya kuchanganyikiwa kutoka kwa wanaijeria wengi, na serikali ya shirikisho iliitaka sony kuomba radhi (sony iliomba msamaha na baadaye ikaliondoa tangazo).

English

the ad was met with consternation from many nigerians, and the federal government requested that sony make a formal apology (sony did apologize and later withdrew the ad).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika dakika ya 2:30, meneja wa kituo cha yatima katika sehemu isiyotajwa nchini haiti anaonyesha kuchanganyikiwa kwake kuhusiana na maslahi ya ghafla ya watoto wa kihaiti, ambapo kabla hayakuangaliwa sana.

English

at minute 2:30, the manager of an orphanage in an unnamed location in haiti expresses frustration at the sudden interest in haitian children, where before there was less concern.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dalili za dharura zinajumuisha matatizo ya kupumua, maumivu au shinikizo inayoendelea kwenye kifua, kuchanganyikiwa, matatizo ya kutembea, na uso au mdomo wa rangi ya samawati; inashauriwa kutafuta matibabu ikiwa dalili hizi zipo.

English

emergency symptoms include difficulty breathing, persistent chest pain or pressure, confusion, difficulty waking, and bluish face or lips; immediate medical attention is advised if these symptoms are present.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,856,863 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK