Results for kukanusha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ama mwanaadamu ni mwingi wa kukanusha.

English

and ever is man ungrateful.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na anapo kuvueni mkafika nchi kavu, mnageuka. ama mwanaadamu ni mwingi wa kukanusha.

English

but when he brings you safely to the shore, you turn away, for man is most ungrateful.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa jason linkins kwenye jarida la huffington post tamko hilo la kukanusha lenyewe pia ni uongo.

English

according to jason linkins at huffington post the denouncement itself is also a spoof.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika moja ya makala zake za blogu, alitoa dhihaka dhidi ya watu fulani ambao kamwe magazeti ya nchini ethiopia hayakuthubutu kukanusha.

English

in one of his blog posts he mocked a subject which mainstream newspapers from inside ethiopia haven’t dared to acknowledge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpaka jumapili iliyopita george hakuwa tayari kuthibitisha au kukanusha tetesi kuhusu juhudi hizo, alisema tu kwamba tangazo lingetoka katika siku za hivi karibuni.

English

on sunday george would neither confirm nor deny the moves, saying only that an announcement would be made soon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muda mfupi baadae, wataalamu wa uchumi nchini afrika kusini walijitokeza kukanusha matamashi hayo, wakisema kuwa nchi ya afrika kusini haina vigezo vyovyote vya kuitwa "taifa lililokwama kiuchumi" kama vile ghasia zilizoenea za wenyewe kwa wenyewe, kutokufanya kazi kwa asasi za kiraia, kutokuwepo kwa mhimili wa mahakama unaojitegemea na kutokuwepo kwa ulinzi wa mali za watu.

English

south african economists immediately came out to dismiss his assertion, arguing that the south african state does not meet the factors that define a "failed state" such as widespread civil unrest, dysfunctional civil society, absence of an independent judiciary and a lack of protection for private property.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,915,500,506 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK