From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hii hupunguza hatari ya huduma za afya kulemewa na hutoa muda zaidi kwa chanjo na matibabu kutengenezwa.
this decreases the risk of health services being overwhelmed and provides more time for vaccines and treatments to be developed.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
sera bora za kuepukana na ugonjwa huweza kupunguza kutakikana kwa huduma za kimatibabu wakati wa mlipuko kwa 2/3 na vifo kwa nusu, lakini bado kusababisha vifo mamia ya maelfu na mifumo ya afya kulemewa.
optimal mitigation policies might reduce peak healthcare demand by 2/3 and deaths by half, but still result in hundreds of thousands of deaths and health systems being overwhelmed.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hali za kimuundo zinazohusiana na kulemewa kwa uwezo wa kushughulikia matibabu, kukiwa na makadirio ya kila nchi iliyo eu/eea na uingereza ya maambukizi watu walio na covid-19 waliolazwa hospitalini wenye hatari ya > 90% ya kupita uwezo wa vitanda vilivyopo kushughulikia watu walio katika hali mahututi, umetolewa katika sasisho la sita la tathmini ya hatari ya haraka kuhusu covid-19..
modelling scenarios related to healthcare capacity saturation, with estimates for each eu/eea country and the uk of the prevalence of hospitalised covid-19 cases associated with a > 90% risk of exceeding intensive care bed capacity, are provided in the sixth update of the ecdc rapid risk assessment on covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting