Results for kulima translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

napenda kufuga kuku na kulima

English

i like to be

Last Update: 2023-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wewe ndiyo umeanza kusema mambo ya kulima

English

yeah youve started to say farming things

Last Update: 2022-03-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu huko in ilafitsignana sasa wameporwa ardhi waliyotumia kulima...

English

people in ilafitsignana are now deprived of their farmland...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ghana tayari ina tatizo kubwa la namna ya kuwafanya vijana waendelee kulima.

English

ghana already has a major problem keeping young people in farming.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchini kenya, wakazi wa mijini wameanza kujifunza mbinu anuai za kulima chakula kwa ajili ya matumizi yao na kuuza hata katika eneo dogo.

English

in kenya, city dwellers are learning different techniques to grow food for consumption and sale even in reduced spaces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii ndiyo sababu serikali zilizowahi kutawala nchi ya zambia zimekuwa zikiweka mkazo mkubwa kwenye kulima, kuvuna, kununua na kuuza mahindi kwa walaji.

English

this is why subsequent governments have kept a keen eye on the growing, harvesting, buying and selling of maize-meal to consumers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwingine akasema: nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.

English

and another said, i have bought five yoke of oxen, and i go to prove them: i pray thee have me excused.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akasema: yeye anasema: kuwa huyo ni ng'ombe asiye tiwa kazini kulima ardhi wala kumwagia maji mimea, mzima, hana baka.

English

(moses) answered: lo! he saith: verily she is a cow unyoked; she plougheth not the soil nor watereth the tilth; whole and without mark.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yule karani akafikiri: bwana wangu amenifukuza kazi ya ukarani; nitafanya nini? kwenda kulima siwezi; kwenda kuombaomba kama maskini ni aibu.

English

then the steward said within himself, what shall i do? for my lord taketh away from me the stewardship: i cannot dig; to beg i am ashamed.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wale wanaojaribu kurudi kwenye ardhi zao za asili wanakuta tayari serikali imeshaigawa ardhi hiyo kwa wawekezaji wa kigeni ambao kwa haraka haraka wanasafisha maeneo hayo kwa kuondoa mapori, mashamba yaliyokuwepo na vichaka ili kupata nafasi ya kulima mazao ya kibiashara kama vile ufuta, chai, viungo, mchele, na sukari, ambapo mazao mengi yanakusudiwa kuuzwa nje ya nchi.

English

those who try to return to their ancestral lands find that the government has already leased their lands to foreign investors who are hurriedly bulldozing forests, farms, and wetlands in order to grow commercial crops of agro fuels, tea, spices, rice, and sugar cane, mostly for export.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,947,462,446 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK