Results for kuuliza swali moja translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kuuliza swali moja

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nataka kuuliza swali

English

do you speak danish?

Last Update: 2023-04-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pamoja na hilo, swali moja lilikuwa mbele zaidi ya akili za waghana.

English

with that, one question was foremost on many ghanaian minds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hebu nikuulize swali moja, kwa jinsi gani mtu asipovaa nguo za ndani aanweza kukuathiri wewe kama mtu.

English

let me ask you one question, how does someone not wearing their underwear affect you as a person.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivyo kama umechukizwa au unasumbuliwa inaelekezwa kwa mwanamke unayemjali, jinsi gani baadhi yenu mna ujasiri kuuliza swali kama mwanamke anahisi kunyanyaswa?

English

so if it offends or bothers you went it is directed at a woman you care about, how can some of you actually have the nerve to question whether the woman feels harassed?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuuliza swali hili ni hatari na kujaribu kufafanua maana hasa ya muislamu kunaweza kuwa hakuna maana yoyote na kunaweza kusababisha kutengwa kwa wengi wasiokuwa dhehebu la mtu anayeuliza swali hilo.

English

asking this question is dangerous and trying to define a muslim is futile and would invariably lead to exclusion of many who do not belong to the sect of the person who is asking the question.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu akawajibu, "na mimi nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, basi nami nitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.

English

and jesus answered and said unto them, i also will ask you one thing, which if ye tell me, i in like wise will tell you by what authority i do these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini yesu akawaambia, "nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, na pia nitawaambieni ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.

English

and jesus answered and said unto them, i will also ask of you one question, and answer me, and i will tell you by what authority i do these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,781,365,954 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK