Results for kuvuma translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

English

and we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, dhoruba kali ikaanza kuvuma, mawimbi yakaipiga ile mashua hata ikaanza kujaa maji.

English

and there arose a great storm of wind, and the waves beat into the ship, so that it was now full.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mei 19 #freezone9bloggers tumblr ilianza kuvuma katika tovuti ya vyombo vya habari vya kijamii.

English

on may 19, the #freezone9bloggers tumblr began trending on the social media sharing site.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na yeye ndiye anaye peleka pepo (za kuvuma) kuwa ni bishara kabla ya kufika rehema yake.

English

and it is he who sends the winds as heralds of glad tidings, going before his mercy (rain).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao "upepo wa kaskazi" ulianza kuvuma kutoka kisiwani.

English

but not long after there arose against it a tempestuous wind, called euroclydon.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu hadi mwisho huu.

English

and he shall send his angels with a great sound of a trumpet, and they shall gather together his elect from the four winds, from one end of heaven to the other.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa wanasafiri kwa mashua, yesu alishikwa na usingizi, akalala. dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari.

English

but as they sailed he fell asleep: and there came down a storm of wind on the lake; and they were filled with water, and were in jeopardy.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na yeye ndiye anaye peleka pepo (za kuvuma) kuwa ni bishara kabla ya kufika rehema yake. hata hizo pepo zinapo beba mawingu mazito tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa.

English

and he it is who sendeth the winds as tidings heralding his mercy, till, when they bear a cloud heavy (with rain), we lead it to a dead land, and then cause water to descend thereon and thereby bring forth fruits of every kind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, upepo mzuri wa kusi ulianza kuvuma, nao wakadhani wamefanikiwa lengo lao; hivyo wakang'oa nanga, wakaiendesha meli karibu sana na pwani ya krete.

English

and when the south wind blew softly, supposing that they had obtained their purpose, loosing thence, they sailed close by crete.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alama habari ya #menagainstrape imeanza kuvuma kwa mara nyingine, wakati huu nchini pakistani, habari zinadai kuwa baada ya babulal gaur, waziri wa mambo ya ndani wa india, alitoa matamshi haya kuhusu ubakaji, 'wakati mwingine ni sahihi, wakati mwingine huwa ni makosa'.

English

the #menagainstrape hashtag started trending again, this time in pakistan, reportedly after babulal gaur, an indian state minister, said this about rape, 'sometimes it is right, sometimes it's wrong'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,793,671 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK