Results for kuzindua translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kuzindua

English

launching

Last Update: 2023-07-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna kisara cha kuzindua

English

no url to launch

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

agizo mbaya (exec) kuzindua

English

bad command (exec) to launch

Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

barua ya kuzindua tukio hilo inaongeza:

English

the letter convening the event adds:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

januari 24, ni siku ambayo inategemewa kuwa ya kuzindua rasmi hadithi, ambalo ni jukwaa la kuhifadhia zana za bure za kitaaluma mjini nairobi, kenya.

English

on january 24, the official launch of hadithi, a platform for hosting open access academic content will take place in nairobi, kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka 2012, baada ya kuzindua albamu yake iliyokuwa inaonyesha maumivu ya kutengenana na kiongozi wake wa kiroho na shauku yake kubw aya umoja wa watibeti, alibaki kimya kwa muda mrefu.

English

back in 2012, after he released an album that expresses the pain of separation from his spiritual leader and a strong desire for tibetan unity, he disappeared for quite a lengthy period of time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kaa mkao wa kula tunapojiandaa kuzindua touti ya mkutano huo itakayokuwa na habari za kina kwa tukio, taarifa za usajili na zaidi -kuingiza siku hizo kwenye ratiba zako!

English

stay tuned for the launch next week of the summit web site with details on the event, registration info and more—and do save the date!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo mwaka 2002, nelson mandela mwenyewe alitumia siku hii kuzindua kampeni yake ya ulimwengu mzima kuhamasisha welewa na kupiga vita tatizo la vvu/ukimwi, kameni hiyo inajulikana kama 46664.

English

in 2002, however, nelson mandela himself used this day to launch his global hiv/aids awareness and prevention campaign, 46664.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa malengo ya siku ya kimataifa za lugha asili mnamo februari 21, rising voices, kwa kushirikiana na washirika wetu katika maandalizi taasisi ya living tongues , mradi wa lugha zilizo hatarini kutoweka, na indigenous tweets, ikiwa ni pamoja na washirika wengi washiriki, tunaungana kuzindua kampeni ya “twiti kwa #lughaasili.”

English

for international mother language day on february 21, rising voices, along with our organizing partners the living tongues institute, endangered languages project, and indigenous tweets, as well as a wide range of participating partners, are coming together to launch the campaign “tweet in your #motherlanguage.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,784,772,808 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK