Results for kwenda kwa lima shamba translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kwenda kwa lima shamba

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na zinazo kwenda kwa wepesi.

English

and (the ships) that float with ease and gentleness;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenda kwa: esteban lazo hernández

English

to: esteban lazo hernández

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa kuna sababu gani kwenda kwa adliya na umm al hassam ?

English

so what is the point of going to adliya and umm al hassam ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namalizia na ujumbe huu wa pongezi kutoka kwa wairaki kwenda kwa wamarekani

English

i end with messages of congratulations from iraqis to america.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika haya ni mawaidha; basi anaye taka atashika njia ya kwenda kwa mola wake mlezi.

English

indeed, this is a reminder, so he who wills may take to his lord a way.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwili wake ulirudishwa nchini kutoka beijing mahali ambapo alipendelea kwenda kwa ajili ya matibabu.

English

his body was brought back to the country from beijing where he often went to seek medical treatment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatupangi kwenda kwa "muda zaidi ili kufidia" punde janga hili likipita.

English

we do not plan to go “double-time to catch up” once the pandemic has passed.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

chengdu living anawafundisha wasomaji wake namna ya kutafuta chumba cha kupanga nchini china bila kwenda kwa dalali kwa kutoa mwongozo wa hatua tano.

English

chengdu living teaches readers how to rent an apartment in china without going through the agent by giving a 5 step-to-step guide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kituo chetu cha kwanza kitakuwa kwenye mwondoko wa hanzala kwenda kwa mungu, ambako anaandika kuhusu uamuzi wake wa kuacha kazi:

English

we leave hanzala to ponder the derelict state of syria's public sector and his decision to quit, and we move to a little more joyful topic. as with every friday, the blogosphere was blessed with the new installment of abufares and mariyah's sea side collaborative story. in part 29, you'll read:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miaka ya 1790, virusi vya koroma vya farasi vilitoka kwa virusi vya korona vya ng'ombe baada ya kuruka kwenda kwa spishi nyingine.

English

in the 1790s, equine coronavirus diverged from the bovine coronavirus after a cross-species jump.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na akitoroka yeyote katika wake zenu kwenda kwa makafiri, tena ikatokea mkapata ngawira, basi wapeni walio kimbiwa na wake zao kiasi cha mahari waliyo yatoa.

English

and if any of your wives deserts you to the unbelievers, and ye have an accession (by the coming over of a woman from the other side), then pay to those whose wives have deserted the equivalent of what they had spent (on their dower).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kawaida hii haipitishwi kutoka kwa mama kwenda kwa kijusi kwa hivyo uchunguzi zaidi unahitajika kujua ikiwa virusi hivyo vilipitia kwenye kondo au ikiwa kondo ya wanawake kwenye utafiti ilikuwa imeharibiwa au isiyo ya kawaida.

English

this is not usually passed from mother to fetus so further research is required to know whether the virus crossed the placenta or whether placentas of women in the study were damaged or abnormal.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.

English

she also said the government was committed to scale-up mother-to-child prevention programs, therapies that prevent hiv-positive pregnant moms from passing on the disease, and that an effective hiv vaccine was desperately needed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndiye anaye pambazua mwangaza wa asubuhi; na ameufanya usiku kwa mapumziko na utulivu, na jua na mwezi kwenda kwa hisabu. hayo ndiyo makadirio ya aliye tukuka mwenye nguvu, mwenye ujuzi.

English

he causes the dawn to break; and he has made the night for rest, and the sun and the moon for reckoning; this is an arrangement of the mighty, the knowing.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye tukio hilo, wanaharakati walisoma barua ambayo ilitumwa na arcoiris kwenda kwa mbunge wa bunge la nchi hiyo, esteban lazo, kupinga kuondolewa kwa utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya vvu vinavyoonekana kuleta hisia ya ubaguzi katika mazingira ya kazi kwenye sheria mpya ya kazi nchini humo.

English

at the event, activists read the letter that arcoiris recently sent to esteban lazo, chairman of the country's legislature, the national assembly of people's power, in protest of the exclusion of gender identity and hiv status as motives of discrimination in the work environment in the new cuban labor code.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika, chapisho la hivi karibuni linaeleza namna gani ugonjwa unaweza kuenea kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu: popo walao matunda wanaweza kubeba virusi hivyo bila wao kuonesha dalili za maradhi hayo, na wanaweza kuhama na kueneza virusi hivyo kwenda kwa wanyama wengine, kama vile nyani na pimbi.

English

indeed, a recent publication explains how the disease could be spread from the animal kingdom to humans: fruit bats can carry the disease without displaying any signs of it, and are able to migrate and transfer it to other animals, such as monkeys and rodents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,771,064,512 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK