Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
jina lesotho limetokana na nchi ambayo watu wake wanazungumza lugha ya ki-sesotho.
the name lesotho translates roughly into the land of the people who speak sesotho.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jema lilio kufikia limetokana na mwenyezi mungu. na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.
what comes to you of good is from allah, but what comes to you of evil, [o man], is from yourself.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
msifadhaike upesi moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba siku ya bwana imekwisha fika. labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi fulani, mahubiri au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.
that ye be not soon shaken in mind, or be troubled, neither by spirit, nor by word, nor by letter as from us, as that the day of christ is at hand.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: