Results for maamkizi ya safari translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

maamkizi ya safari

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

habari ya safari

English

how is your trip?

Last Update: 2023-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bei ya safari ya pande zote

English

flight segment

Last Update: 2020-07-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana ya safari ya bamba ni machero

English

meaning of bamba trip is machero

Last Update: 2022-08-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

weka mwendo mrefu baina ya safari zetu.

English

make the stage between our journeys longer.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na tayari tupo nusu ya safari kufikia malengo hayo!

English

and we are already half-way through!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

weka mwendo mrefu baina ya safari zetu. na wakazidhulumu nafsi zao.

English

make the stages between our journeys far apart,’ and they wronged themselves.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunaanza ushirikiano wetu kwa kuanza na mada ya “safari za wahamiaji”.

English

we begin our partnership with the theme “migrant journeys.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika safari nyingine kuna hatari ya kuingia karantini mahali katikati ya safari yako.

English

on certain itineraries there is a risk of getting quarantined somewhere along the way.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini wakasema: mola wetu mlezi! weka mwendo mrefu baina ya safari zetu.

English

but [insolently] they said, "our lord, lengthen the distance between our journeys," and wronged themselves, so we made them narrations and dispersed them in total dispersion.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ili kununua tiketi ya safari kama hii, huenda ukalamizika kuwasiliana na ndege au utumie muuzaji asiyejulikana sana.

English

to buy a ticket for an itinerary like this, you may have to contact the airline or use a lesser-known aggregator.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu hiyo imeshawahi kushinda tuzo blogu bora ya safari ya kihispania na mwandishi wa mwongozo wa safari lonely planet.

English

the blog has already won the best spanish travel blog award by travel guide publisher lonely planet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wengine watahitaji miunganisho ya safari isio ya kawaida-vituo kadhaa na kusubiri kwa muda mrefu kati ya ndege.

English

others will require more inconvenient connections than usual—multiple stops and long waits between flights.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hivyo hifadhi nafasi ya safari ya moja kwa moja, na ikiwa haiwezekani, fikiria kwa makini kuhusu ni wapi utaunganisha safari yako.

English

so book a direct flight if you can, and if not, think carefully about where to connect.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika siku yake ya sita ya safari yake ya kupiga picha, alitembelea na kupiga picha za mji huo mzuri katika maeneo ya karibu:

English

on the six-day photo-safari, she photographed the beautiful city and places nearby:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sergey dolya, mwanablogu maarufu wa masuala ya safari na mjasiriamali wa zana za kijamii za mtandaoni, alituma makala hii akionyesha alivyofurahishwa :

English

sergey dolya, a popular travel blogger and social media entrepreneur, posted this enthusiastic entry :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya safari ya kuchosha, sikushangazwa na watawa, ila nyuso ya wananchi wa burma, zilizochorwa kwa rangi nyeupe, mara nyingi zenye tabasamu.

English

after a frenetic trip, it wasn’t so much the monks and pagodas that haunted me, but the faces of the burmese, painted in white, often smiling.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hatua za kudumisha umbali pia hupendekezwa kuzuia usambazaji.serikali nyingi zimeweka vizuizi au kushauri dhidi ya safari yoyote isiyo muhimu kuelekea na kutoka nchi na maeneo zilizoathirika na kuzuka kwa ugonjwa.

English

physical distancing measures are also recommended to prevent transmission.many governments have restricted or advised against all non-essential travel to and from countries and areas affected by the outbreak.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku kadhaa baada ya safari ya sata, ulinzi na itifaki ya kirais na bendera ya rais yenye nembo ya taifa, vyote ambavyo vilipaswa kuondolewa wakati rais asipokuwepo, viliendelea kuwepo ikulu ya rais kwenye wilaya ya kati ya jiji hilo.

English

a couple of days after sata’s journey, the ceremonial guard and the presidential standard, an orange flag embossed with the coat of arms, both of which are supposed to be removed in his absence, were still in place at the presidential palace in the central district of the capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miezi miwili kabla ya safari yangu ya kwenda marekani kwa ajili ya masomo ya uzamivu, edom alikuwa na safari ya tunisia, na aliporudi, aliniletea zawadi ya kishikio cha funguo kilichokuwa na mfano wa mchikichi ambao huaminiwa kutoa ulinzi dhidi ya mabaya.

English

two months ahead of my departure to the us for my graduate studies, edom traveled to tunisia and on her return, brought me a palm-shaped key holder which is popularly believed to provide protection from evil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

benki zilifungwa; dazeni za nchi zilitoa maonyo kwa wasafiri dhidi ya safari za kwenda thailand wikiendi hii; na wakazi waliambiwa wasivae nguo za rangi nyekundu au za manjano “rangi ambazo zina ishara hai kisiasa” nchini thailand.

English

banks were closed; dozens of countries issued travel advisories against going to thailand this weekend; and residents were told not wear red or yellow which are “politically charged colors” in thailand.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,792,829,246 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK