Results for masaa 24 yafuatayo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

masaa 24 yafuatayo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

masaa 24

English

24 hours

Last Update: 2022-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zifuatazo ni jumbe za blogu katika masaa 24 yaliyopita.

English

here are some of the blog posts of the last 24 hours.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matangazo ya mtandaoni kwa masaa 24 kutokea kwenye ukumbi huo yalizinduliwa.

English

a 24h webcast from the auditorium maximum was put in place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisiwa cha agaléga cha nchi hiyo kiliathiriwa vibaya na kimbunga hicho na nishati ya umeme ulikatika kwa masaa 24.

English

agaléga island was hit hard and was in blackout for 24h.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mnamo 3 aprili, marekani ilikuwa imerekodi vifo 884 kutokana na virusi vya korona katika muda wa masaa 24.

English

on 3 april, the u.s. had a record 884 deaths due to the coronavirus in a 24-hour period.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kipindi cha masaa 24 yajayo, maji yanayotiririka hayatafaaa kwa matumizi ya kunywa, aina nyingine za maji hayatakuwa na shida.

English

in the next 24 hours, running water will not be suitable for drinking, and other kinds of water will not be affected.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@bencnn: ikiwa misri haikuwa tsunami ya habari masaa 24 kila siku, basi naona sudan imenasa macho zaidi.

English

@bencnn: if #egypt weren't such a 24/7 news tsunami #sudan might be getting more attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"ni lini habari za ebola zitatangazwa kwa masaa 24 siku saba za wiki?," anauliza profesa crawford kilian wa marekani na kanada:

English

"when will ebola news go 24/7?," asks a us/canadian professor crawford kilian:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

usamah amekuwa kwenye kizuizi cha idara katili ya usalama wa taifa kwa zaidi ya masaa 24, na marafiki wake wa twita wanafanya kampeni ya kuachiwa kwake kwa kutumia alama habari ya #freeusamah.

English

usamah has been in the custody of the notorious niss for over 24 hours, and his twitter friends are campaigning for him using #freeusamah.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hakika, katika masaa 24 yaliyopita kwenye mtandao wa twita, hamasa ya watumiaji wa twita wa ki-rusi katika kufuatialia hali ya mambo nchini ukraini imezidi bashasha ya kufuatilia mashindano ya olimpiki.

English

indeed, in the last 24 hours on twitter, russian users’ interest in ukraine has surpassed their attention on the olympics.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wizara ya afya na ustawi wa jamii jijini banjul tayari imeanzisha laini ya simu inayopatikana masaa 24 kupitia mitandao yote nchini humo. kampeni ya #ebolafreegambia inatofautiana na jitihada nyingine zinazochukuliwa na wizara ya afya zinazolenga kuwaelimisha wa-gambia.

English

the ministry of health and social welfare in banjul has already established a 24-hour information hotline from any network within the country. #ebolafreegambia campaign is different from the efforts by the ministry of health to sensitize gambians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kituo cha udhibiti na uzuiaji wa magonjwa ya marekani (cdc) inapendekeza kuwa wafanyakazi walio na dalili za ugonjwa sugu ya kupumua wanafaa kukaa nyumbani hadi hawana hali ya joto jingi, dalili za hali ya joto jingi, na dalili zozote zingine kwa angalau masaa 24 bila utumizi wa madawa ya kupunguza hali ya joto jingi au kukabiliana na dalili, na kuwa sera za likizo ya ugonjwa zinzobadilika kulingana na hali, kuwaruhusu wafanyakazi kukaa nyumbani kumhudumia mshiriki wa familia ambaye ni mgonjwa, na kuwa wafanyakazi wanafahamu sera hizi.

English

the u.s. centers for disease control and prevention (cdc) recommends that employees who have symptoms of acute respiratory illness are to stay home until they are free of fever, signs of a fever, and any other symptoms for at least 24 hours without the use of fever-reducing or other symptom-altering medicines, and that sick leave policies are flexible, permit employees to stay home to care for a sick family member, and that employees are aware of these policies.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,763,337,383 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK