Results for mheshimiwa alisema nina wivu wa k... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mheshimiwa alisema nina wivu wa kimapenzi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wivu wa mapenzi

English

wivu

Last Update: 2022-07-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni siku kubwa kwa usawa wa kimapenzi na haki kwa mashoga.

English

it's a great day for #lgbt equality & advancing civil rights in pr.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wengine walitumia alama habari hiyo kupendekeza kuwa ukatili wa kimapenzi ndio uwe adhabu ya wabakaji:

English

some used the hashtag to suggest sexual violence as a punishment for rape:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kumekuwepo uvumi kwamba vladimir putin ana uhusiano wa kimapenzi na mcheza sarakasi wa zamani aliyezaliwa uzbekistan alina kabaeva.

English

there have long been rumors that vladimir putin has a romantic relationship with uzbekistan-born former gymnast alina kabaeva.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hadithi ya maisha magumu ya mustafa akiwa ulaya na hasa uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamke wa kiingereza, ndiyo unachukua nafasi ya kati katika riwaya hiyo.

English

the story of mustafa's troubled past in europe and in particular his love affair with a british woman, forms the center of the novel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchi nyingine, anasema nkateko baloi, zina wivu wa maendeleo ya afrika kusini mwaka 2010:

English

other countries, says nkateko baloi, are jealous of south africa's success in 2010t:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninawaoneeni wivu lakini ni wivu wa mungu; maana ninyi ni kama bikira safi niliyemposa kwa mwanamume mmoja tu ambaye ndiye kristo.

English

for i am jealous over you with godly jealousy: for i have espoused you to one husband, that i may present you as a chaste virgin to christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, tukio la pili la "besada" linakuja wakati ambao kuna utata kuhusu kuondolewa kwa kipengeele cha kusitisha ubaguzi wa utambulisho wa kimapenzi katika sheria mpya ya kazi nchini humo.

English

however, the second edition of the "besada" comes at a time when controversy has arisen around the exclusion of discrimination based on gender identity in the new labor code.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika makala yenye kichwa cha habari, uzinifu wa kukumbuka, fathia absie anaandika kuhusu kushitakiwa kwa joshua asisam mlinzi wa amani katika somalia, kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa kisomali:

English

in a post titled, affair to remember, fathia absie writes about the conviction of joshua asisa, a peace-keeper in somalia, for engaging in an affair with a young somali woman:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchini marekani, sheria ya kuwazuia watu wa rangi tofauti kuoana ama kuwa na uhusiano wa kimapenzi katika majimbo mengi ilipiga marufuku ndoa za wamarekani weupe na wamerekani weusi (na wale wa asili nyinginezo) katika majimbo kadhaa.

English

in the united states, anti-miscegenation laws in many states banned the marriage of white americans to black americans (and americans of some other ethnicities) in a number of states.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alifariki alfajiri ya jumamosi tarehe 7 aprili, akiwa na umri wa miaka 28, baada ya kile kilichodaiwa kuwa ugomvi wa kimapenzi na rafiki yake wa kike, ambaye pia ni mwigizaji, aitwaye elizabeth michael kwa jina maarufu “lulu”.

English

he died early on saturday morning, aged 28, after an altercation with his girlfriend elizabeth ‘lulu’ michael.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,762,475,396 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK