Results for mna mda gani kwenye shughuli hii translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mna mda gani kwenye shughuli hii

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa mda gani

English

for how long?

Last Update: 2024-03-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchoro kutoka kwenye shughuli za unhcr nchini humo.

English

chart from unhcr country operations profile.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,

English

but they made light of it, and went their ways, one to his farm, another to his merchandise:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tembo hutumiwa zaidi kwenye shughuli za usafirishaji magoo, kazi ambayo ni ngumu na hatari sana kwa tembo.

English

elephants are mainly employed in the logging industry, a very hard and dangerous job.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesho naweza kukuona mda gani niambie sasa mapema

English

Last Update: 2020-07-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunafurahi kwamba ataendelea si tu kama mchangiaji wa kujitolea, lakini pia atafanya kazi nasi kwenye shughuli maalumu na kutuwakilisha kwenye mikutano.

English

we're happy she'll continue not only as a volunteer contributor, but also to work on special projects and represent us at conferences.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naam, ni zaidi ya mwaka mmoja tangu nilipochukua likizo ya muda mrefu kutoka kwenye shughuli za kublogu lakini sasa nimerudi, moja kwa moja.

English

yes, it's been more than a year since i took leave a long leave from blogging but now i'm back, for good.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, muziki huo wa k-pop umekuwa na athari gani kwenye utamaduni, mitindo na muziki wa korea kusini?

English

what has the impact of k-pop been on culture, fashion and music in south korea?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini, ama kwa hakika ni nchi iliyopotea njia, maana malaysia inaangamia tena chini ya tanzania, uganda na zambia hasa katika kushika nafasi gani kwenye masuala ya uhuru wa vyombo vya habari.

English

but odd one out indeed, malaysia is also languished way below tanzania, uganda and zambia in press freedom ranking.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli hii yao imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

English

and now i say unto you, refrain from these men, and let them alone: for if this counsel or this work be of men, it will come to nought:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matokeo yake, watu wengi zaidi wamehamia kwenye shughuli za uvuvi, wakati huohuo rasilimali hizi nazo sasa hazitoshelezi ... karibu hakuna tena ambatsi na sâro, fiambazaha bado wapo kidogo lakini si kwa wingi kama zamani... ilikuwa rahisi sana kuwakamata angora lo na varavara zamani lakini sasa hivi karibu wanakwisha...vilevile imekuwa vigumu kupata samaki jamii ya tofoki (mwandishi anadokeza kuwa, maneno yaliyo katika hati mlazo ni majina ya samaki kwa kimalagasi).

English

as a result, there are many more people living off fishing, and resources are no longer enough... ambatsy and sâro are almost non-existent. fiambazahaare still around but not as many...angora lo and varavarà were so easy to catch in the past but are almost non-existent now... tofoky are also hard to find (author's note: names in italics are species of fish in malagasy)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,782,499,179 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK