Results for mshike translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na mshike sala, na mcheni yeye, na kwake yeye ndiko mtako kusanywa.

English

"to establish regular prayers and to fear allah: for it is to him that we shall be gathered together."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na kumbukeni alivyo kufanyeni mshike pahala pa kaumu ya nuhu, na akakuzidisheni katika umbo.

English

and do call to mind when he made you successors after the people of noah and amply increased you in stature.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, huwaoni wale walio ambiwa: izuieni mikono yenu, na mshike sala na mtoe zaka.

English

hast thou not regarded those to whom it was said, 'restrain your hands, and perform the prayer, and pay the alms'?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hivyo someni kilicho chepesi humo, na mshike sala, na toeni zaka, na mkopesheni mwenyezi mungu mkopo mwema.

English

and perform the prayer, and pay the alms, and lend to god a good loan.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kumbukeni alivyo kufanyeni mshike pahala pa kaumu ya nuhu, na akakuzidisheni katika umbo. basi zikumbukeni neema za mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

English

and remember when he made you successors after nuh's people and increased you in excellence in respect of make; therefore remember the benefits of allah, that you may be successful.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnaona ajabu kukufikieni mawaidha yanayo toka kwa mola wenu mlezi kwa mtu aliye mmoja wenu nyinyi ili akuonyeni? na kumbukeni alivyo kufanyeni mshike pahala pa kaumu ya nuhu, na akakuzidisheni katika umbo.

English

"do ye wonder that there hath come to you a message from your lord through a man of your own people, to warn you? call in remembrance that he made you inheritors after the people of noah, and gave you a stature tall among the nations.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

anajua ya kuwa baadhi yenu watakuwa wagonjwa, na wengine wanasafiri katika ardhi wakitafuta fadhila ya mwenyezi mungu, na wengine wanapigana katika njia ya mwenyezi mungu. kwa hivyo someni kilicho chepesi humo, na mshike sala, na toeni zaka, na mkopesheni mwenyezi mungu mkopo mwema.

English

he knoweth that there may be (some) among you in ill-health; others travelling through the land, seeking of allah's bounty; yet others fighting in allah's cause, read ye, therefore, as much of the qur'an as may be easy (for you); and establish regular prayer and give regular charity; and loan to allah a beautiful loan.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,472,535 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK