Results for msomi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

aya msomi

English

why are you silent?

Last Update: 2020-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alex ni msomi, sio mpelelezi.

English

alex is an academic, not a spy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

china: kujitoa uhai kwa msomi mwingine tena - kisa cha yang yuanyuan

English

china: another elite's suicide - the story of yang yuanyuan · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inaonekana, mtu hahitaji kuwa msomi kujua namna ya kublogu, baada ya yote, ni nyenzo tu.

English

it seems, one need not be learned to know how to blog, it is after all, a tool.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

msomi mmoja wa kisaudi alitoa wito wa kuifuta hija ikiwa mlipuko ungekuwa mkubwa zaidi, lakini pendekezo hilo lilizimwa na wenzake.

English

one saudi scholar called for haj to be canceled if there were a severe outbreak, but that proposal was shot down by others.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

iliondokea kuwa mustafa pia alikuwa ni msomi aliyesoma katika nchi za magharibi lakini alikuwa amejawa na chuki na uhusiano wa ajabu na marafiki zake wa kutoka nchi za magharibi.

English

as it turns out mustafa was also a precocious student educated in the west but simultaneously harbors a violently hateful and complex relationship with his western identity and acquaintances.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yang yuanyuan, binti msomi mwenye miaka 30 aliyekuwa na shahada ya uzamili kutoka chuo kikuu cha shanghai maritime, alijinyonga kwenye bafu la nyumbani kwake mnamo novemba 25 mwaka huu.

English

yang yuanyuan, a 30-year-old postgraduate at shanghai maritime university, hanged herself in her bathroom on november 25.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.

English

where there is neither greek nor jew, circumcision nor uncircumcision, barbarian, scythian, bond nor free: but christ is all, and in all.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,615,660 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK