Results for muda wa saa 18:30 alienda zake translation from Swahili to English

Swahili

Translate

muda wa saa 18:30 alienda zake

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.

English

and it was about the space of three hours after, when his wife, not knowing what was done, came in.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alishikiliwa na polisi wa kairo kwa muda wa saa saba kabla hajaruhusiwa kupiga simu kwenye nyumba ya watawa wenzake.

English

he was detained by the police in cairo for another seven hours for interrogation before he was permitted to telephone his community of friars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila ya shaka ningewataka mashabiki wa liverpool waache ikiwa wangekuwa wanapiga kelele kwa nota moja tu ya ywnwa kwenye masikio yangu kwa muda wa saa moja na nusu.

English

i would certainly ask a liverpool fan to stop if they just screamed one note of ywnwa in my ear for an hour and a half.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme ambao bado hawajaanza kutawala. lakini watapewa mamlaka ya kutawala kwa muda wa saa moja pamoja na yule mnyama.

English

and the ten horns which thou sawest are ten kings, which have received no kingdom as yet; but receive power as kings one hour with the beast.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tukio hilo litadumu kwa muda wa saa 72 mfululizo bila kusimama, na washiriki wataweza kufuatilia na kutoa maoni moja kwa moja kupitia mijadala itakayokuwa ikiendelea yote moja kwa moja na kwa wakati mmoja.

English

the event will start at 0 am (gmt) and will last 72 hours non-stop, and participants will be able to follow and comment in several live discussions simultaneously.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

English

he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa cha ulaya (ecdc) kinataja kwamba ingawa si bayana kikamilifu ilivyo rahisi kwa ugonjwa huu kuenea, mtu mmoja kiujumla huwaambukiza watu wengin wawili au watatu.virusi vina uwezo wa kusalia vikiwa hai kwa kwenye sehemu mbalimbali kwa muda wa saa hadi siku.

English

the european centre for disease prevention and control (ecdc) states that while it is not entirely clear how easily the disease spreads, one person generally infects two to three others.the virus survives for hours to days on surfaces.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,934,296,919 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK